PPF na NSSF sio kama LAPF

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,951
3,239
LAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake

Nyie PPF na NSSF mnapiga dili kama DEGE ESTATE na kujitajirisha tu

Wafanyakazi wa PPF na NSSF ni matajiri, wana miliki majumba - bungalows

Miradi yao ni tumbo zao

Hongera LAPF

Watu mchague LAPF

PPF wanakataa kulipa FAO la kujitoa kwa wanachama wa Kampuni binafsi

PPF wanangoja maamuzi ya Bunge la mihuri..Ndioooooo
 
Promo at Work
 
Mifuko mengi ina Mipango ya ziarani kama Viwanja. Hata NSSF wanauza Viwanja kwa wanachama, japo la msingi ni Mafao ya Hifadhi ya jamii
 
Kuna mfuko wa hovyo hapa duniani kama NSSF? Huu mfuko wa hifadhi ya serikali, hovyo hovyo hovyo hovyo kabisa. Kama ingekuwepo ruhusa ya mwanachama kuhama kutoka mfuko mmoja kwenda mwingine, wallah NSSF wangebaki civil servants na mapepo tu
 
LAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake

Nyie PPF na NSSF mnapiga dili kama DEGE ESTATE na kujitajirisha tu

Wafanyakazi wa PPF na NSSF ni matajiri, wana miliki majumba - bungalows

Miradi yao ni tumbo zao

Hongera LAPF

Watu mchague LAPF

PPF wanakataa kulipa FAO la kujitoa kwa wanachama wa Kampuni binafsi

PPF wanangoja maamuzi ya Bunge la mihuri..Ndioooooo
Hao NSSF Hata bima zao pia za hovyo yan mtu unachagua hospitali 1 ya karibu nawe hadi wakishinswa ndo wakuruhusu wao watu wa hospitali ndo waku transfer bila hivyo hupati huduma eneo lengine. Mfano unakaa tabata aroma basi hapo utatumia madona hospitali hata kama unahisi ama unaona huduma zao mbovu
 
Hizi huduma hutolewa kwa mpango upi? Ndio kwanza nausikia kwako.
 
Kuna mfuko wa hovyo hapa duniani kama NSSF? Huu mfuko wa hifadhi ya serikali, hovyo hovyo hovyo hovyo kabisa. Kama ingekuwepo ruhusa ya mwanachama kuhama kutoka mfuko mmoja kwenda mwingine, wallah NSSF wangebaki civil servants na mapepo tu
Mkuu hivi ni misingi ipi hasa inayoleta ugumu kwenye kuhama hii mifuko ya hifadhi ya jamii kutoka mmoja kwenda mwingine?
 
LAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake

Nyie PPF na NSSF mnapiga dili kama DEGE ESTATE na kujitajirisha tu

Wafanyakazi wa PPF na NSSF ni matajiri, wana miliki majumba - bungalows

Miradi yao ni tumbo zao

Hongera LAPF

Watu mchague LAPF

PPF wanakataa kulipa FAO la kujitoa kwa wanachama wa Kampuni binafsi

PPF wanangoja maamuzi ya Bunge la mihuri..Ndioooooo
Mkuu naomba details zaidi nikadake kiwanja faster!
 
Yan ppf nao hovyo,fao la kijitoa kwao limekufa.vitambulisho Hawatoi,cjawai kuona tangazo lao kwenye TV kuona products zao.
 
LAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake

Nyie PPF na NSSF mnapiga dili kama DEGE ESTATE na kujitajirisha tu

Wafanyakazi wa PPF na NSSF ni matajiri, wana miliki majumba - bungalows

Miradi yao ni tumbo zao

Hongera LAPF

Watu mchague LAPF

PPF wanakataa kulipa FAO la kujitoa kwa wanachama wa Kampuni binafsi

PPF wanangoja maamuzi ya Bunge la mihuri..Ndioooooo
Hii mifuko ni mapato ya serikali watu wajipiganie kujitoa kwenye hii mifuko ,mnatajirisha watu tu
 
Hii mifuko vumbi lilitulia ukishajiunga ndo utakiona mimi nliona nssf shida nikachotaga changu nikakimbilia ppf duh fumbiiiii tupu
 
Back
Top Bottom