PPF/PSSSF sasa ni utata mubashara

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Kinachofanywa sasa na PSSSF pamoja na dada yake nssf ni uhuni.

Sasa kuna ujinga mwingine. eti PPF hawalipi wale waliokuwa 'professionals'. Yaani hata kama mtu alikuwa karani tu unahesabika ni professional!! Huu ni utata mkuuubwa kwani wa LAPF wote wanalipwa. It's not fair. Ni upuuzi kumwambia mtu asubiri miaka 55 ukipata million 5. Jamaa hawa sasa wame embark into delaying tactics. Njoo baada ya miezi2 zimezidi.
Kama hawana fedha za kulipa mafao ya ex-employees si easement wazi? Social Security scheme is a nuisance to workers in Tz.

Kusema wafanyazi wanaichukia PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani ana sympathize na PSSSF or NSSF? No body does...

PSSSF ni kizungumkuti. Watu wanasubiri muda mrefu kulipwa mafao yao. Wastaafu na wapoteza ajira wote wameinunia both psssf na nssf. Mabingwa wa blabla.

Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. Kuna delaying tactics zinafanyika kwani njoo mwezi ujao zimezidi hasa baada ya merger!!!

Swali kuu ni kwamba why are you tempering with ex-employees' money?!!!! Kwa nini muwapangie maisha yao?

Blabla zinazoendelea sasa zinatia tu kichefuchefu. It is totally ridiculous.

Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania. Ni unafiki mtupu.

Woe PSSSF na NSSF mnaoendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed PSSSF.
Cursed SSRA.
Mashirika haya ya kinyonyaji imejaa majambazi.

What a despicable PSSSF. What a stupid NSSF. What a monstrous SSRA. May Lucifer devour these useless institutions and their lousy customer care staff.
 
Nimeshalalamika mpka nimechoka..... How did the Colonialists dig their own grave....tulijibu land alienation, taxation, forced labour na kadhalika........ Sasa ndo hii hii....
 
Tukumbuke na ndio ukweli kuwa
Serikali hailipi kwa wakati michango ya makato ya wafanayakzi wake kwa wakati
Serikali inakopa sana kutoka ktk hii mifuko hadi kupitiliza
Serikali hailipi kwa wakati fedha ilizokopa hivyo kuifanya mifuko kushindwa kulipa kwa wakati wastaafu wake.
 
Kinachofanywa sasa na PSSSF pamoja na dada yake nssf ni uhuni.

Sasa kuna ujinga mwingine. eti PPF hawalipi wale waliokuwa 'professionals'. Yaani hata kama mtu alikuwa karani tu unahesabika ni professional!! Huu ni utata mkuuubwa kwani wa LAPF wote wanalipwa. It's not fair. Ni upuuzi kumwambia mtu asubiri miaka 55 ukipata million 5. Jamaa hawa sasa wame embark into delaying tactics. Njoo baada ya miezi2 zimezidi.
Kama hawana fedha za kulipa mafao ya ex-employees si easement wazi? Social Security scheme is a nuisance to workers in Tz.

Kusema wafanyazi wanaichukia PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani ana sympathize na PSSSF or NSSF? No body does...

PSSSF ni kizungumkuti. Watu wanasubiri muda mrefu kulipwa mafao yao. Wastaafu na wapoteza ajira wote wameinunia both psssf na nssf. Mabingwa wa blabla.

Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. Kuna delaying tactics zinafanyika kwani njoo mwezi ujao zimezidi hasa baada ya merger!!!

Swali kuu ni kwamba why are you tempering with ex-employees' money?!!!! Kwa nini muwapangie maisha yao?

Blabla zinazoendelea sasa zinatia tu kichefuchefu. It is totally ridiculous.

Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania. Ni unafiki mtupu.

Woe PSSSF na NSSF mnaoendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed PSSSF.
Cursed SSRA.
Mashirika haya ya kinyonyaji imejaa majambazi.

What a despicable PSSSF. What a stupid NSSF. What a monstrous SSRA. May Lucifer devour these useless institutions and their lousy customer care staff.
Mkuu hapo sijakupata vizuri umesema w LAPF wao wanalipwa yaani fao la kujitoa kwa wanachama w lapf wanapewa sio? Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhuluma kwenda mbele na mkuu hawezi kutoka kwa hili, kuna mzee kafa wiki jana na watoto wake wameamua kuachia mafao yake kwa mungu
 
Na hilo ndilo lengo la jiwe; kuwadhulumu wastaafu na ikitokea wamefariki dunia warithi wao wazungushwe hadi waseme "tunamwachia Mungu".
 
Ni dhuluma kwenda mbele na mkuu hawezi kutoka kwa hili, kuna mzee kafa wiki jana na watoto wake wameamua kuachia mafao yake kwa mungu
Wapambane wayafuatilie tu, Hakuna ushahidi wa wazi kua wakiyasusa Mungu ndie atakae yachukua.
 
Back
Top Bottom