chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
PPF kwa nini mnatuzuia kujitoa kwenye fao lenu? Kama nilisimamishwa kazi halafu hamtaki kutoa hela zetu tulizokua kunakatwa na kuwekwa kwenye mfuko wenu mnategemea nini na nitaishi vipi huku nataka kujiajiri?
Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu. Kwanini?
Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu. Kwanini?