PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
Mke wangu aliitwa kwenda kufanya usaili na PPF post ya Liaison Operations Trainee,saa tano leo pale jengo la Elimu ya watu wazima opposite na NBAA.
 
Kweli huo usanii,,, ukiona hivyo ujue wameshaandaliwa watu wao,, hizi taasisi hizi pppttuuuuu!
 
Hapo ningapiga mia. Hayo maswali yanahitaji mtu anayefuatilia sana mambo.
 
Swala ni kwamba, uwe unayajua au huyajui, yana mahusiano gani na ppf...au yanamahusiano gani na post husika!??
 
Wana watu wao hao ndio maana nilisema kama uko Mkoani Kigoma,Kagera au Mwanza na umeitwa na PPF kwa interview ni bora uongezee mtaji iyo pesa kuliko kuja Dar kufanya usaili unajipotezea mda tu,....mi nimefanya nao interview had final stage ila Holaa mwisho wa siku wamewaita watu waooo.....Poleni kwa mliotoka Mkoa kuja kufanya usaili wa PPF
 
Kwani PPF waliita tena watu kwa Interview nyingine?nakumbuka kuna moja ilishafanyika na tulifanyia hapo hapo!!
 
Wana watu wao hao ndio maana nilisema kama uko Mkoani Kigoma,Kagera au Mwanza na umeitwa na PPF kwa interview ni bora uongezee mtaji iyo pesa kuliko kuja Dar kufanya usaili unajipotezea mda tu,....mi nimefanya nao interview had final stage ila Holaa mwisho wa siku wamewaita watu

waooo.....Poleni kwa mliotoka Mkoa kuja
kufanya usaili wa PPF

Kaka pole ht mm nilifika mpaka oral nimepigwa chin ...hao PPF wana watu wao kusumbua tu....hii ishu ipo cku itawapalia km UHAMIAJI
 
Maswali yanatia kichefuchefu! Post husika vs maswali ulizwa hakuna correlation yyte
 
Mke wangu aliitwa kwenda kufanya usaili na PPF post ya Liaison Operations Trainee,saa tano leo pale jengo la Elimu ya watu wazima opposite na NBAA.

Wife anakumbuka baadhi ya maswali aliyofanya.

1. Leo ni jumatatu baada ya siku 61, itakua siku gani?
2. Msajili wa sasa wa vyama vya siasa nchini ni nani?
3. Mji mkuu wa Burkina faso unaitwaje?
4. Nchi gani ndogo kuliko zote duniani?
5. Nchi gani ya zamani sana kuliko nchi yoyote duniani?
6. Mwendesha mashitaka mstaafu wa ICC
7.Bosco Ntagandwa alianza uasi mwaka gani?

Session ya saa tano, bado wale wa saa mbili na wale wa saa nane na kila session na maswali yao!!
Maswali yalikua 15,Dakika 15! Kuna mengine ni multiple choise.

Sasa swali langu hayo hapo maswali yanahusiana nini ni PPF?

Kaka kwanza na kulaumu naona kama ulichelewa kufuatilia threads za PPF humu laitani ungewajua mapema usinge mruhusu mkeo aende kufanya lkn sikulaumu sana coz ndio uhaba wa ajira hapa nchini kwetu unafanya tuteseke kiasi hiki, PPF wana prove failure kila siku zinavyokwenda coz naona hata staffs wao walio warecruit sio compitent ni wazi kua wanao watu kwa setup ya mitihani yao!

Unaulizwa swali number ya mezani ya PPF ni ipi?, mwenyekiti wa board of trustee wa PPF ni nani? Hahahahaha
kama shangazi yako au anko yko mkubwa utapata nafasi
 
Sasa posta wasipouza stemp, mishahara itatoka wapi?

Mwisho wa siku kutakuwa na hamna aliyepata, interview nyingine inaitishwa,.
 
Hii elimu ya kibongo imetushika pabaya, watu wanasoma na kugraduate with first class! Ukienda interview vitu havicorelate kabsa, unapata maswali ya ajabu ajabu ambayo hata hayahusiani na taasisi au kampuni yenyewe au taalum uliyonayo! Hebu jaman hawa waajiri wasifanye kukomoa bhanaa!
 
Kaka kwanza na kulaumu naona kama ulichelewa kufuatilia threads za PPF humu laitani ungewajua mapema usinge mruhusu mkeo aende kufanya lkn sikulaumu sana coz ndio uhaba wa ajira hapa nchini kwetu unafanya tuteseke kiasi hiki, PPF wana prove failure kila siku zinavyokwenda coz naona hata staffs wao walio warecruit sio compitent ni wazi kua wanao watu kwa setup ya mitihani yao!

Unaulizwa swali number ya mezani ya PPF ni ipi?, mwenyekiti wa board of trustee wa PPF ni nani? Hahahahaha
kama shangazi yako au anko yko mkubwa utapata nafasi

MKOME.CHAGUEN.UKAWA.MKAULIZWE.LOWASSA .ALIHAMA.lini
 
Back
Top Bottom