PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

Mkiona hivyo niyalemababu ayataki kutoka ysnatafuta njia yasiondoke fukrun.wakubwa
 
Mtu wa kwanza kwenda kwenye mwezi anaitwa nani.....hilo pia lilikuepo.dah
 
Hayo maswali mazuri sana, mtu akifeli hapo ni ishara kwamba kakalia tamthilia tu na umbea wa instagram.

Safi sana. Hilo ni somo vijana mjitahidi kua na uelewa mpana wa mambo sio kukariri ya diamond tu. Hiyo nnimeipenda.

Msikariri utaratibu wa usaili kwamba lazima uulizwe yanayohusu taaluma yako, hayo wanajua unayajua.

Juzi mdogo mdogo wangu kaitwa usaili akakutana na maswali kwa lugha ya kiswahili akachanganyikiwa, mjitahidi kubadilika na kua na uleewa mkubwa wa mambo.
 
Wadau hivi hawa jamaa wa PPF wanatoa majibu ya interviews zao baada ya muda gani? maana mmi nilifanya hii ya juzi jumamosi ila hawakuatoa taarifa yeyote kuhusu matokeo yatatoka lini na kwa mfumo gani?
 
Duuh... Hapo wanahitaji kitu cha ziada tofauti ya unachofundshwa darasan kwa sababu kwa idadi hyo ya watu wakiuliza maswali yanayoendana kuna uwezekano wa kupata idadi kubwa ya watu wanaoshabihiiana.
 
Wadau hivi hawa jamaa wa PPF wanatoa majibu ya interviews zao baada ya muda gani? maana mmi nilifanya hii ya juzi jumamosi ila hawakuatoa taarifa yeyote kuhusu matokeo yatatoka lini na kwa mfumo gani?
Ina maana una mategemeo na ile Interview???au Aunt yako anafanya kazi pale au unaconection nyingine tofaut na Aunt yakoo......kama hauna ndugu pale usipoteze mda jitahid tu ufanye Interviews za Sekretariat ya Ajira kule ndo Mkombozi wa watoto wa walala hoi
 
Kaka kwanza na kulaumu naona kama ulichelewa kufuatilia threads za PPF humu laitani ungewajua mapema usinge mruhusu mkeo aende kufanya lkn sikulaumu sana coz ndio uhaba wa ajira hapa nchini kwetu unafanya tuteseke kiasi hiki, PPF wana prove failure kila siku zinavyokwenda coz naona hata staffs wao walio warecruit sio compitent ni wazi kua wanao watu kwa setup ya mitihani yao!

Unaulizwa swali number ya mezani ya PPF ni ipi?, mwenyekiti wa board of trustee wa PPF ni nani? Hahahahaha
kama shangazi yako au anko yko mkubwa utapata nafasi
mkuu afadhali maswali hayo kuliko hayo waliyoulizwa hapo juu
 
Mke wangu aliitwa kwenda kufanya usaili na PPF post ya Liaison Operations Trainee,saa tano leo pale jengo la Elimu ya watu wazima opposite na NBAA.

Wife anakumbuka baadhi ya maswali aliyofanya.

1. Leo ni jumatatu baada ya siku 61, itakua siku gani?
2. Msajili wa sasa wa vyama vya siasa nchini ni nani?
3. Mji mkuu wa Burkina faso unaitwaje?
4. Nchi gani ndogo kuliko zote duniani?
5. Nchi gani ya zamani sana kuliko nchi yoyote duniani?
6. Mwendesha mashitaka mstaafu wa ICC
7.Bosco Ntagandwa alianza uasi mwaka gani?

Session ya saa tano, bado wale wa saa mbili na wale wa saa nane na kila session na maswali yao!!
Maswali yalikua 15,Dakika 15! Kuna mengine ni multiple choise.

Sasa swali langu hayo hapo maswali yanahusiana nini ni PPF?

maswali ya kawaida haya, Mimi nakumbuka niliwahi kuulizwa Currency za nchi nyingine...........Hii huwa wanaita apptitude test, sema cha muhimu walipaswa kutoa maswali mengi zaidi na muda kidogo ili watu wafanye wanayojua
 
Wanasumbua watu halafu wanaajiri watu hata hizo interview hawajafanya, wananichoshaga hapo tu
Kazi za siku hizi unamjua nani ndio pona yako...
 
Ina maana una mategemeo na ile Interview???au Aunt yako anafanya kazi pale au unaconection nyingine tofaut na Aunt yakoo......kama hauna ndugu pale usipoteze mda jitahid tu ufanye Interviews za Sekretariat ya Ajira kule ndo Mkombozi wa watoto wa walala hoi

pale mimi sijui mtu kiongozi, nimejaribu kuuliza ili niwe najua maana uhakika wa kupata kazi pale kweli inaonesha lazima uwe na ndugu yako PPF
 
Hivi jaman hawa PPF walishaitaga watu tena kwenye oral interview kwa post ya Laison operation?
 
Back
Top Bottom