Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,071
Mtaalam wa ngeliNANI HUYO ANAKUNYWA MAJI MACHAFU.
SWISSME
Si bure uyo Kuna namna, atajibinuaje ivyo?
Mtaalam wa ngeli
Who said translating Kiswahili to Tourists is easy?
1: Niaje mzito = Hi heavy
2: wacha mchezo= leave sport
3: mi si mtu hvi hvi= am not a person this this.
4: uko macho= you are eyes!
5: navuta sigara= am pulling cigarette
6: zichanganye changanye= confuse confuse them!
7: nimejaribu lakini wapi= I have tried but where?
8: naskia kizunguzungu= am hearing English
English.
9: wee ni kiboko yao= you're hippopotamus of
them
10: acha mdomo mingi= stop mouth many.
11: achana na mimi= stop with me
12: naota jua= am dreaming sun.
13: usiniletee= don't bring me.
14: una kimbelembele= you have front front
15: ndio sisi hao= we are those.
16: piga corner= beat the corner.
Kizungu hakipendi ujinga
Kata kulia - cut cry17) kizungu hakipendi ujinga =English loves not stupid
Inasemekana anakuja na huduma kikombe kingine tena muda si mrefu.Hivi watu na elimu zote walizonazo hadi wengine sijui ma dokta wa nini nini sijui huko wanakuja kuhadaiwa na mtu kama babu wa Loliondo?? khaaaa hapo nimechoka kabisaaa.
Alikuwa DC wa wapi na anaitwa nani?Huyo jamaa anaepiga picha ni mwandishi wa habari (reporter) Alikuja kuula ukoo wa wilaya kutoka kwa baba Riz, alipokuja huyo jamaa anaekunywa dawa hapo akamtoa faster.
Alianzia hai akaenda moshi, wakati wa picha hii alikuwa reporter wa ITV. weka jina mwenyewe sasa.Alikuwa DC wa wapi na anaitwa nani?
View attachment 443202
Vijero jero vya watukufu wa nchi na wananchi,...
Vimemuwezesha kucruise nchi kavu
hivi mtu akienda kwa babu kiikombe, atashindwa kwenda kwa waganga wa kienyeji? babu aliumbua watu wengi sana.