Pozi la mpiga picha, mmeliona?

Yaani babu balaa jamaa alipiga kikombe ona sasa tunavyoendeshwa babu mungu anakuona.
 
Huyo mpiga picha ni Novatus Makunga nadhani!
 
Ndii yeye .... Novatus Makunga. Hapo ni kabla hajateuliwa na JK enzi hizo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…