Nimependa BOOT la msuya ni kiatu cha ukweli na kiko ndani ya kalenda za kisasa...sio kama walivyo wengi wanavaa viatu vilivyopitwa na wakati... Hongera mzee Msuya fashion hazikupiti mbali...
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membe akiwa na waombolezaji katika msiba wa marehemu Sekou Toure ( CRDB Lumumba branch boss) nyumbani kwa marehemnu mtoni mtongani kijichi. Hapa wapo kwenye dua au sala kabla kuanza safari ya kwenda Kilimanjaro kwa mazishi.
..Mh Membe anajua analolifanya?
Mix with yours

Sio imani yao kufanya hivyo.....hata huyo Kazimoto wa COWI hapo nyuma hapigi duwa pia
JF kuna vijibweka, sala ni sala anayejua uhalali ni msaliji na asaliwaji
RIP Sekou Toure
Nimependa BOOT la msuya ni kiatu cha ukweli na kiko ndani ya kalenda za kisasa...sio kama walivyo wengi wanavaa viatu vilivyopitwa na wakati... Hongera mzee Msuya fashion hazikupiti mbali...
yaani kati ya watu wote walioko msibani umewaona membe na msuya tu? huyo mz msuya hapo umempandikiza tu lakini target yako ni membe. hiyo ni chokochoko a.k.a chuki binafsi. kila kukicha mnaanzisha mada kuh membe lakini wenye akili zao humu wanakupigeni makombora mpaka mnakoma. mnamtafuta membe toka kila pembe. mwacheni baba wa watu apumue. hana ma-scandal kama ya wengine wengi!
Si ndio hapo sasa, katika msiba huu kuna meeengi ya kusema. Marehemu ni nani, amefariki vipi, inakuwaje mpaka Membe na Msuya wawepo etc.
Lakini watu wameenda kuona mikono ilivyowekwa na viatu. hebu fikiria msiba wako watu badala ya kutoa wasifu wako wanaanza kushadadia mikono ya watu ilivyokaa na viatu.
JF kuna vijibweka, sala ni sala anayejua uhalali ni msaliji na asaliwaji
RIP Sekou Toure
Membe ni populist leader kama mtu fulani.............
Kajuaje kuweka mikono yake namna hii????