Kwahiyo wewe merengo na Heaven Sent mnataka kusema Mamndenyi kafanana na pipiro? Kwani pipiro ni mwanamke? Huu utani wenu huu...!!!
Hahahahaaaa mshindi wewe....!!!!
Hahahaaaa naogopa kufunguka zaidi
"Now or Never"
Hahahaaaa let it be...!!!shida ni kakaangu MziziMkavu sitaki kumuumiza labda itokee tu...!!!
He is a nice guy!!! Labda itokee tuu...!!!

Kwani wewe kinakuuma kitu gani? Unajisikia wivu nini mimi nikiwataja hao wachumba? Mkuu Excel huna kazi ya kufanya nini? nikupe kazi ya kufanya? mind your business