Kwa wapenda music hakuna music player zaidi hii ya poweramp ila baada ya kusumbuka nimefanikiwa kuipata new version[full version,paid] iliyo safi na salama na haisumbui zile meseji za playstore:
View attachment 1318242View attachment 1318243View attachment 1318244
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kuwaibia developers sasa ni muda wa kuwaibia users!!!
Poweramp huwa haiibiwi itaanza kumpa notice soon as adiwadanganye nami nilihaki nikatumia wiki nzima ila ikaboma ,ilinibidi ninunue tuUmemaliza kuwaibia developers sasa ni muda wa kuwaibia users!!!
All the best
Mkuu nataka kununua hii app inanishinda kwa kutumia hii mastercard ya Mpesa.Poweramp huwa haiibiwi itaanza kumpa notice soon as adiwadanganye nami nilihaki nikatumia wiki nzima ila ikaboma ,ilinibidi ninunue tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Km una laini ya tigo nunua kwa tigo inakubaliMkuu nataka kununua hii app inanishinda kwa kutumia hii mastercard ya Mpesa.
Naomba muongozo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au km ushatengeneza mastercard kupitia m-pesa nenda playstore search poweramp unlocker then utume screenshotsMkuu nataka kununua hii app inanishinda kwa kutumia hii mastercard ya Mpesa.
Naomba muongozo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kama una namba ya telegram nipe nikutumie bure halafu tuone hiyo wiki au update zikupiteMkuu nataka kununua hii app inanishinda kwa kutumia hii mastercard ya Mpesa.
Naomba muongozo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mwezi nayo itabuma lini mzee?Poweramp huwa haiibiwi itaanza kumpa notice soon as adiwadanganye nami nilihaki nikatumia wiki nzima ila ikaboma ,ilinibidi ninunue tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Au km ushatengeneza mastercard kupitia m-pesa nenda playstore search poweramp unlocker then utume screenshots
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu namba siwezi kukupa pia mimi nataka kununua sitaki bure.Mzee kama una namba ya telegram nipe nikutumie bure halafu tuone hiyo wiki au update zikupite
Sent using Jamii Forums mobile app