Clouds ni redio ya majungu na fitina kwa hiyo wanapemnda biashara haramu ...usikute wanazo kibao akina kibonde wanazisambaza kwa nguvu na kupata mihela.............mapato yao mengi ni haramu kwa mfano rushwa za ngono kwa wasanii wa kike, rushwa za pesa kwa wasanii wa kiume (rejea wimbo wa sugu"anti-virus), pesa za epa kutoka ccm wakati wa uchaguzi................kifupi niliisha acha kuwasikiliza kwani ni kicheni part zaidi ya kujenga jamii.............