Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,148
- 137,142
Bahati mbaya first born wake ni mwanamke!
Bahati mbaya first born wake ni mwanamke!
Una maana gani kuwa ni Bahati mbaya first born ni mwanamke?? Mbona unawapuuza hao? Hukumsikia Benazir Bhuto? Kina Godamer! Angela Markel?? Na wengine wengi tu. Je hao nao ni bahati mbaya??
Fundi eeeeeeehhmwanamke hataweza kuvaa viatu vya mwanamme na mwanamke anatakiwa amsikilize mwanamme. sasa mziki wa marekani utawezwa kweli na mwanamke?
umejibu vema mkuukuna half brother wake yupo anaitwa Kim Jong-Chul
Kim Jong-Chul is purportedly the chairman of the North Korean Information Service Center and could potentially be a future leader if something happen to Kim Jong-un who is only 32 or 33. (Birth dates vary). Kim Jong-un has no children that are old enough to rule and the only known child is a daughter, in any case.
If not Chul, the country could fall into chaos with multiple people trying to grab power. The country is so secretive, that it is difficult to know who is alive and could potentially seize power.
Hao unaowataja siasa zao ni za mlengo UPI mabepari au wakomunisti.....ubebari unamtambua mwanamke ni sawa na mwanaume tena inawezekana hata akamzidi mwanaume kiutendaji...haya ukomunisti je unamchukuaje mtoto wa kikeUna maana gani kuwa ni Bahati mbaya first born ni mwanamke?? Mbona unawapuuza hao? Hukumsikia Benazir Bhuto? Kina Godamer! Angela Markel?? Na wengine wengi tu. Je hao nao ni bahati mbaya??
Hahahahaha ni wamarekani weusi wamegeuka kuku wanamuombea mwewe mabaya!!Fundi eeeeeeehh
Naona watu wanaingilia ikulu yetu
Una maana gani kuwa ni Bahati mbaya first born ni mwanamke?? Mbona unawapuuza hao? Hukumsikia Benazir Bhuto? Kina Godamer! Angela Markel?? Na wengine wengi tu. Je hao nao ni bahati mbaya??
Kwani Mwanamke hawezi kuongoza?
Hahahahaha ni wamarekani weusi wamegeuka kuku wanamuombea mwewe mabaya!!
Anaweza kuongoza lakini siyo rahisi kama mnavyofikiria hasahasa kwenye nchi kama Korea-Kaskazini: Sehemu yoyote ile ambako wanaangalia THE CULT OF PERSONALITY huwa haiwi rahisi kwa jinsie KE kufika juu kirahisi.
Tunaweza kujitia moyo kwa kuwaangalia watu kama Margaret Thatcher lakini ni lazima ujue historia na tamaduni ya nchi kama Uingereza: Demokrasia ya nchi ya Uingereza ndiyo komavu kuliko Demokrasia yoyote ile ambayo wewe umewahi kuisikia na ina miaka zaidi ya (700) Mia Saba.
Pia tamaduni za Uingereza ni tofauti kabisa na Korea-Kaskazini au Marekani.
Uingereza hata kabla ya kuwepo taifa la Ujerumani na Marekani walishakuwa na viongozi wanawake kama Malkia Elizabeth wa I tokea mwaka 1558; tena wakawa Malkia mwingine Victoria tokea mwaka 1837 huko na hadi leo Uingereza inaongozwa na Malkia Elizabeth wa II.
NB 1: Kipindi cha Malkia Elizabeth wa I na Victoria Uingereza ndiyo ilikuwa ndiyo dola kubwa na lenye nguvu hapa duniani. Sasa nchi kama hii kwanini waone kitu cha ajabu au waogope kuongozwa na mwanamke ??? Marekani mwenyewe anayejiita nid Demokrasia komavu anaogopa kutawaliwa na mwanamke (Huu ndiyo uhalisia hata ukilia utabakia tu kuwa uhalisia)
NB 2: Korea-Kaskazini iliharibiwa kitamaduni na utawala wa Japan na imetoka kwenye Ukoloni wa Japan mwaka 1945 baada ya Vita vya Pili vya dunia. Mwaka 1947 na kuendelea wakaingia kwenye mfumo wa Kidikteta na Kikomunisti hadi leo; sasa wewe unataka kusema kwamba nchi ambayo haijawahi kuwa na historia ya mwanamke kiongozi huko nyuma na bado iko chini ya Udikteta inaweza kumruhusu mwanamke awe kiongozi kirahi-rahisi tu ??? (Please be realistic and serious).
NB 3: Kitu ambacho mnasahau tena ni kwamba Mfumo wao wa Kiutamaduni na Kielimu (WESTMINSTER INFLUENCE)wa Uingereza ndiyo uliweza kuathiri hata makoloni yake kama India na Pakistani hadi kuwashawishi kuona kwamba kuwa na kiongozi mwanamke kama Indira Gandi na Benazhir Bhutto ni kitu cha kawaida sana (Tafadhali soma historia vizuri) Lakini Ukweli mchungu ambao wengi hatuutaki kuusema ni kwamba kwenye nchi nyingi za Kiislamu wanawake huwa hawapewi kipaumbele kutokana na tamaduni na dini. Hata India mnamo Karne ya 13 (wakati ni Dola la Kiislamu ilishwahi kuwa na Sultana Mwanamke anaitwa Raziya al-Din au Razia Sultana lakini wanaume wa Kiislamu hawakukubali kuwa na kiongozi mwanamke na kuamua kumuua.
NB 4: Waswahili tunasema ukiona "vinaelea ujue vimeundwa": Usichukulie vitu kwa ujumla-jumla (Generalization of things) na kufuata kauli kama Kama "Fulani kaweza na mimi basi naweza" bila kujiuliza maswali ya Msingi kama:
Always try to be EMPIRICAL ask yourself this question "WILL IT WORK WITH ME AND AVERT MY CIRCUMSTANCES ???" and stop clinging to these crude and clumsy Humanist Theories like FEMINISM. Good things do not just brood out of oblivion my friend.
- Kwanini fulani kaweza kufanikiwa katika kile kitu ??
- Je, mazingira yangu yanalingana na fulani ili niweze kumuiga ???
- Je, nikimuiga fulani na mimi nitapata mafanikio kama yake ???
- Je, nikijaribu kufanya kama fulani nitawaathiri vipi wanaonizunguka ???
Ni makosa makubwa sana kutaka kulinganisha Korea Kaskazini na nchi kama Pakistani, Israel na Ujerumani.
Mifumo yao ni tofauti sana Kisiasa, Kuitamaduni na kiuchumi: Kikubwa zaidi hata historia zao hazilingani.
Kwenye mifumo ya Kidemokrasia ya Wayunani na Warumi ambayo karibia nchi zote tunaitumia, ni rahisi sanan kuwa na kiongozi wa mwanamke kwenye safu za juu kabisa za uongozi.
Ukisoma vizuri historia ya Korea utaelewa nini ninachokiongelea hapa.
Alichokifanya Kim Jong-Il Baba yake na Kim Jong-Un hadi akapewa madaraka, na alichokifanya Kim Jong-Un hadi akaaminika na Chama cha Kikomunisti na Korea-Kaskazini ni vitu ambavyo mwanamke hawezi kuvifanya vikajulikana na akaendelea kukubalika kirahisi na jamii kirahisi tu. (Very Wretched and Ruthless Acts: They are simply suicidal)
Kitu ambacho ni lazima ukijue ni kwamba Kim Jong-Il na Kim Jong-Un hawakuachiwa nchi kwasababu tu wana damu ya Kim Il-Sung lakini kuna vitu walivifanya viliwavyowajengea imani kwa wakomunisti wa Korea-Kaskazini. Baba yake Kim Jong-Un baada ya kuona baba yake hamuangalii sana na wakomunisti wanamuona kama anabebwa kwasababu ni mtoto wa Raisi, akaamua kwenda kufanya vitendo vya Kimafia ndani ya Chama cha Kikomunisti kama kusughulikia watu ambao wanaonekana wako upande wa Uchina na Umoja wa Kisovieti. Mara akaanzisha atege mabomu kulipua meli za Korea Kusini; mara ateke watu na kuwaua wakaanza kumuita (The Fearless Leader). Akepewa vyeo vya jeshi na kule ndani akawa kiongozi wa Tume ya Ulinzi wa nchi na ile Baba yake kafa jamaa alikuwa amejijenga sana kisiasa akaamua kufuta cheo cha Uraisi na Kuunganisha Ukatibu wa Chama na Wenyekiti wa Tume ya Ulinzi wa Taifa, ndiyo ikatoka hiyo.
Kim Jong-Un tofauti na Propaganda kwamba alipewa tu nchi kwasababu ni mtoto wa Kiongozi wa nchi, alifanya kazi sana kufika pale. Taarifa zinasema alivyokuwa ndani ya chama alianza kucheza mchezo mchafu kama Baba yake, alikuwa anafukuza sana wafanyakazi hasahasa wale wazee waliokuwa hawataki kubadilikia kutokana na mazoea au akihisi kwamba watakuja kumsumbua kwenye mikakati yake. Kwa nje alikuwa anaonekana kama anafanya kazi kumbe ana yake mwishowe akapandishwa cheo hadi kufika Ujenerali katika umri mdogo. Kama alivyofanya Baba yake kuna baadhi ya watu walikuwa na nguvu kwenye Chama kiasi kwamba Kim alijua Baba yake akifa hapa basi watamsumbua kwasababu wengi wana mahusiano ya Karibu na Uchina hivyo wangeweza kuruhusu nchi ikaendeshwa kwa Rimoti kutoka Beijing. Aliwafyeka wengi sana hawa wa kiwango cha chini na alivyokuja kuwa Raisi akamnyonga mjomba wake ambaye alionekana kuwa na nguvu kubwa ya kumpinga tangu zamani, halafu akasingizia biashara ya makaa ya mawe na Uchina.
Pirika kama hizi mwanamke akizifanya ni lazima hata mimi nitamwogopa na kwanza haitakuwa rahisi sana kuweza kuwaamrisha wakomunisti. Wanawake kama Indira Gandi, Angela Merkel, Benazhir Buto au Golda Meir walichaguliwa kwa njia za kidemokrasia kabisa na nchi zao lakini Korea Kaskazini ni tofauti kule ndani ni CULT OF PERSONALITY. Yaani wanaamini nchi itaongozwa kutokana na sifa za kipekee za nchi na wala Katiba haitiliwi umaanani sana!
NB: Inawezekana kabisa Mwanamke akaweza kuongoza nchi kama Korea-Kaskazini lakini siyo rahisi kama tu inavyokuwa Ujerumani au Uingereza. Huu ndiyo uhalisia hata nchi za Kidemokrasia kama Marekani bado wanacheza na Karata za mfumo dume kwa kiasi fulani tofauti na nchi kama Uingereza wala Ujerumani, na hii imechangiwa sana na Historia na Tamaduni za Wamarekani tokea nchi inapata Uhuru hadi mwaka 1920 katiba ya Marekani ilivyowaruhusu Wanawake kupiga kura bila kubaguliwa na mtu yeyote yule. Pima mwenyewe!
asante kwa hiki chakula cha akili...sasa tatizo umejipiga pini mkuu,nikija kwenye profile yako nikusome vizuri nyuzi nyingine nakuta sina ruksa ya kukuperuzi...fanya kuachia basi nami nijifurahishe nafsiAnaweza kuongoza lakini siyo rahisi kama mnavyofikiria hasahasa kwenye nchi kama Korea-Kaskazini: Sehemu yoyote ile ambako wanaangalia THE CULT OF PERSONALITY huwa haiwi rahisi kwa jinsie KE kufika juu kirahisi.
Tunaweza kujitia moyo kwa kuwaangalia watu kama Margaret Thatcher lakini ni lazima ujue historia na tamaduni ya nchi kama Uingereza: Demokrasia ya nchi ya Uingereza ndiyo komavu kuliko Demokrasia yoyote ile ambayo wewe umewahi kuisikia na ina miaka zaidi ya (700) Mia Saba.
Pia tamaduni za Uingereza ni tofauti kabisa na Korea-Kaskazini au Marekani.
Uingereza hata kabla ya kuwepo taifa la Ujerumani na Marekani walishakuwa na viongozi wanawake kama Malkia Elizabeth wa I tokea mwaka 1558; tena wakawa Malkia mwingine Victoria tokea mwaka 1837 huko na hadi leo Uingereza inaongozwa na Malkia Elizabeth wa II.
NB 1: Kipindi cha Malkia Elizabeth wa I na Victoria Uingereza ndiyo ilikuwa ndiyo dola kubwa na lenye nguvu hapa duniani. Sasa nchi kama hii kwanini waone kitu cha ajabu au waogope kuongozwa na mwanamke ??? Marekani mwenyewe anayejiita nid Demokrasia komavu anaogopa kutawaliwa na mwanamke (Huu ndiyo uhalisia hata ukilia utabakia tu kuwa uhalisia)
NB 2: Korea-Kaskazini iliharibiwa kitamaduni na utawala wa Japan na imetoka kwenye Ukoloni wa Japan mwaka 1945 baada ya Vita vya Pili vya dunia. Mwaka 1947 na kuendelea wakaingia kwenye mfumo wa Kidikteta na Kikomunisti hadi leo; sasa wewe unataka kusema kwamba nchi ambayo haijawahi kuwa na historia ya mwanamke kiongozi huko nyuma na bado iko chini ya Udikteta inaweza kumruhusu mwanamke awe kiongozi kirahi-rahisi tu ??? (Please be realistic and serious).
NB 3: Kitu ambacho mnasahau tena ni kwamba Mfumo wao wa Kiutamaduni na Kielimu (WESTMINSTER INFLUENCE)wa Uingereza ndiyo uliweza kuathiri hata makoloni yake kama India na Pakistani hadi kuwashawishi kuona kwamba kuwa na kiongozi mwanamke kama Indira Gandi na Benazhir Bhutto ni kitu cha kawaida sana (Tafadhali soma historia vizuri) Lakini Ukweli mchungu ambao wengi hatuutaki kuusema ni kwamba kwenye nchi nyingi za Kiislamu wanawake huwa hawapewi kipaumbele kutokana na tamaduni na dini. Hata India mnamo Karne ya 13 (wakati ni Dola la Kiislamu ilishwahi kuwa na Sultana Mwanamke anaitwa Raziya al-Din au Razia Sultana lakini wanaume wa Kiislamu hawakukubali kuwa na kiongozi mwanamke na kuamua kumuua.
NB 4: Waswahili tunasema ukiona "vinaelea ujue vimeundwa": Usichukulie vitu kwa ujumla-jumla (Generalization of things) na kufuata kauli kama Kama "Fulani kaweza na mimi basi naweza" bila kujiuliza maswali ya Msingi kama:
Always try to be EMPIRICAL ask yourself this question "WILL IT WORK WITH ME AND AVERT MY CIRCUMSTANCES ???" and stop clinging to these crude and clumsy Humanist Theories like FEMINISM. Good things do not just brood out of oblivion my friend.
- Kwanini fulani kaweza kufanikiwa katika kile kitu ??
- Je, mazingira yangu yanalingana na fulani ili niweze kumuiga ???
- Je, nikimuiga fulani na mimi nitapata mafanikio kama yake ???
- Je, nikijaribu kufanya kama fulani nitawaathiri vipi wanaonizunguka ???
Hao unaowataja siasa zao ni za mlengo UPI mabepari au wakomunisti.....ubebari unamtambua mwanamke ni sawa na mwanaume tena inawezekana hata akamzidi mwanaume kiutendaji...haya ukomunisti je unamchukuaje mtoto wa kike
Wewe kuwa na heshima acha kuita Comrade Kim hilo jina la kipuuziHivi kwa mfano ikitokea kesho 'Little rocket man' anakufa, ni nani huko North Korea atashika hatamu za uongozi?
Manake nijuavyo huko NK 'little rocket man' ndo kila kitu.
Na yeye bado ni bwana mdogo sana. Hata kama ana watoto basi hao watoto watakuwa ni wadogo mno kuweza kurithi uongozi wa hiyo nchi.
Nahisi kutakuwa na mtafaruku mkubwa sana....