Power bank made in Uganda. Hivi sasa ndio viwanda sio sisi Blah! Blah!

Mkuu hapa kwetu si unajua tena! Viwanda vinajegwa kwa kusweka wapinzani ndani, kununua wapinzani au hata "kuwaakwilinalize". Sasa ngoja kwanza tumalize upinzani halaf vikwazo vitakuwa vimeondoka na viwanda vitaibuka! Ha ha ha! What a dream!
Ili Kununua ndege lazima kwanza wengine wapotee na kufa, tutaweza? Kiiza Besije angekuwa Tanzania angeshakufa au kupotea siku nyingi
 
Nachukia sana mtu anayeibeza nchi yangu. Unaitukana nchi ambayo na wewe umo inamaana unajitukana na wewe hukohuko. So anayeweza kutukana kivuli chake mwenyewe ni kichaa tu. So na huyu naye ni kichaa
Hata watoto wanaweza kuichukia familia yao pia. Kwanini Waethopia wanaikimbia nchi yao kila siku? Kwanini kuna wahamiaji "haramu" huko ulaya na Marekana Na hata south Afrika? Mkuu jiongeze.
 
Mbona unachonga sana mdomo wewe hiyo ni fursa umeiona sasa si ujenge kiwanda wewe utajirike? Mijitu mibwege utaijua inajua sana kuona fursa lakini huishia kuongea tu vijiweni.Wekeza wewe au tafuta partners muwekeze.Usiwe kama profesa wa biashara ambaye hana peremende ya kuuza wala genge la kuuza hata fungu moja la nyanya
Hili ndilo tatizo la kusoma,shule za kata,unafikiri kila kiwanda unaweza kukianzisha kwa vijipesa vya madafu na smart phone,
Imechukua 40yrs ,dangote kufika hapo ilipo,
Fanya homework kidogo acha kuwashwa washwa,unaijua Petrobas?tafuta kwanza hiyo,usifikiri nchi zinapoanzisha makampuni,watu binafsi huwa hawapo,unahitaji funds za kutosha kuanzisha multinationals,BP,TOTAL,SHELL,unafikiri ni za MTU binafsi,?
 
Maana ni sawa na mafundi 10 wanajenga nyumba, then watatu wanabomoa, yaan tofali 10 zikiwekwa on the spot wakati zile 10 zingine zikipanda, 3 zinabomolewa na hawa mafundi wengine. Wabomoaji ndo hawa tulionao humu na ciongozi wao kina mange, lissu na wengine so maendeleo yetu yatakuja kwa taratibu sana kwa sababu hiyo
Teh teh teh mbomoaji yuko pale magogoni ana kipara kama sola panel...huyo ndiye mbomoaji!
 
Nachukia sana mtu anayeibeza nchi yangu. Unaitukana nchi ambayo na wewe umo inamaana unajitukana na wewe hukohuko. So anayeweza kutukana kivuli chake mwenyewe ni kichaa tu. So na huyu naye ni kichaa
Usipindishepindishe kama baba yake Bashite, lengo la mleta uzi ni kukichoma kichaka mlimojifichia/ viwanda hewa.
 
bidhaa za tanzania hazina ubora kabisaaaaa sababu mamlaka za viwango wala rushwa wakubwa, pakage za hovyo, ujazo wa hovyo, ubora wa.hovyo yaani kila kitu tanzania.hovyo kabisa

hata vyombo vya plastic vya tanzania hovyo kabisa vyepesi havina ubora beseni.bora ununue la kenya au uganda sio tanzania
 
Kuamini kwamba Tanzania itakuwa nchi ya viwanda chini ya uongozi wa magufuli ni sawa na kwenda JKIA kusuburi pantoon ikupeleke kigamboni
 
Apo kwenye 88000mAH
umeibiwa hakuna mpaka sasa hivi power bank
yenye power hiyo

nakuhakikishia hiyo uwezo wake afadhari power bank yenye 11000mAH
ni bora kuliko hiyo

na ukitaka kujua kua ni kanyaboya power bank yenye 88000mAH
inazidiwa bei na power bank 11000mAH
25000mAH

kwa hiyo hata kimatumizi ni hivyo hivyo hizi za 11 na 25 ni bora kuliko hizo za 88
 
bidhaa za tanzania hazina ubora kabisaaaaa sababu mamlaka za viwango wala rushwa wakubwa, pakage za hovyo, ujazo wa hovyo, ubora wa.hovyo yaani kila kitu tanzania.hovyo kabisa

hata vyombo vya plastic vya tanzania hovyo kabisa vyepesi havina ubora beseni.bora ununue la kenya au uganda sio tanzania
Hata uandishi wetu ni ovyo kabisa...
 
Back
Top Bottom