Tuko pamoja mkuu hii power bank niliichukuliaga poa sana lakini nimeona maajabu yakeXiaomi power bank ni nzuri sana![]()
![]()
![]()
![]()
xiaomi na mi ni kama unasema samsung na galaxy. ni kitu kimoja.Ina power ya ngapi na bei?
Mimi nimeanza kuzikubali sana asee huwa nazipenda haswaTuko pamoja mkuu hii power bank niliichukuliaga poa sana lakini nimeona maajabu yake
Bank zote zinazotoa mikopo mikubwa na ya mda mrefu kwa riba ndogo.Habari Wana jf naomba mwenye kujua power bank gani ni nzuri inafaa kuchaji simu hata Mara mbili simu yenye power ya 3200, maana nyingi ni feki