Jokate ni sawa na mademu wengi wa Kibongo, yaani hawajitambui bado hata wawe na miaka mia na ngapi. Angalieni hivi videmu vya Bongo fleva ama Bongo muvi, yaani ni kama vile vichwa vyao vimejaa viloba badala ya akili. Jokate bado Analia na Ali Kiba wakati mwenzie hamtaki, kishamtumia na kamchoka ila yeye bado tu hakubali anataka kuumizwa Zaidi. Mtu wa namna hii utamsaidiaje? Jokate, tafadhali piga akili soma alama za nyakati. Mwenzio kakuchoka na hakutaki, kwa nini usitafute mtu wa ukweli kuliko hivi vitoto vya Bongo fleva?