Posta, Dar: Waendesha bodaboda na bajaji watawanywa kwa mabomu ya machozi

Aliyewatuma posta ni nani? Hao tutawahitaji mwakani na mafuta tutawawekea. Bodaboda ni kwa ajili ya wanyonge walio Gongo la Mboto na Vingunguti. Sasa hivi posta ni kwa watawala wenye v8 na Benz.
CCM oyee. Kidumu chama cha mapinduzi. Kikwete amechukua ameweka Wahh
 
Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya Machozi kuwatawanya Waendesha bodaboda na bajaji wanaofanya shughli zao Posta mpya karibu na jengo la Benjamin Mkapa Tower baada ga uongozi kuwataka kuondoka katika maeneo hayo kwa madao kuwa hawaruhusiwi hiki waendesha bodaboda na bajaji wakipinga hatua hiyo

View attachment 1123605
Haya twende polepole tu, mh Kangi anateteaga hao watu hajui kuwa hawapendi kabisa kufuata sheria, na huo ni mwanzo tu, wakiachiwa wafanye watakacho ajali zitaongezeka sana,na hakuna watu wasumbufu kwenye uchaguzi kama hao. Atawajua tu, subiri.
 
Kama Taifa bado hatujapata msimamo wa kudumu kuhusiana na machinga, boda boda, mama ntilie, bajaji na wapiga debe, kila mwaka una matukio yake kuhusiana na hawa watu.

Ni muda sasa tukawa na sera ya kudumu kuhusiana na hawa watu, na kila upande ufuate taratibu. La sivyo itakua ni mtaji wa kudumu kwa wanasiasa.
Jamani hawa bodaboda sheria na kanuni zao zipo na zimepitishwa na Bunge 2010, chini ya Sumatra Motorcycle&Try cycle licencing act lakini wanasiasa wanapowataka wanazipindisha sheria makusudi kuwafavour sasa ndio wanaingia kiburi
 
Mshindi nani - bodaboda (wakiungwa mkono na wanasiasa) au walinzi wa amani? Tusubiri
 
Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya Machozi kuwatawanya Waendesha bodaboda na bajaji wanaofanya shughli zao Posta mpya karibu na jengo la Benjamin Mkapa Tower baada ga uongozi kuwataka kuondoka katika maeneo hayo kwa madao kuwa hawaruhusiwi hiki waendesha bodaboda na bajaji wakipinga hatua hiyo

View attachment 1123605
Hawana vitambulisho vya wajasiria mali?
 
Jamani hawa bodaboda sheria na kanuni zao zipo na zimepitishwa na Bunge 2010, chini ya Sumatra Motorcycle&Try cycle licencing act lakini wanasiasa wanapowataka wanazipindisha sheria makusudi kuwafavour sasa ndio wanaingia kiburi
Kama sheria zipo kwanini zisifuatwe??
 
Kama Taifa bado hatujapata msimamo wa kudumu kuhusiana na machinga, boda boda, mama ntilie, bajaji na wapiga debe, kila mwaka una matukio yake kuhusiana na hawa watu.

Ni muda sasa tukawa na sera ya kudumu kuhusiana na hawa watu, na kila upande ufuate taratibu. La sivyo itakua ni mtaji wa kudumu kwa wanasiasa.
Umeongea vema
 
Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya Machozi kuwatawanya Waendesha bodaboda na bajaji wanaofanya shughli zao Posta mpya karibu na jengo la Benjamin Mkapa Tower baada ga uongozi kuwataka kuondoka katika maeneo hayo kwa madao kuwa hawaruhusiwi hiki waendesha bodaboda na bajaji wakipinga hatua hiyo

View attachment 1123605
Mjini kuwepo bodaboda ni uchafu
 
Hiyo yowe ni ya mwandishi wa habari au!!!?
 
Wakiwatawanya kwa mabomu wanakuwa wanatawanya kila mtu na kuzuia biashara pale.

Zero brain
..Hope hawatumii zile risasi zipigwazo angani halafu zinakata konaaaa...

...wakimaliza nao sijui wataenda kwa kundi lipi....
 
Back
Top Bottom