Post za Ualimu toka Wizara ya Elimu

hii ilikuwa kwa hisani ya jk
I'm sorry JK. ulikua bonge la rais. uchumi wako ulikuaa sambamba na uchumi wa raia na ulipenda iwe hivyo. kipindi chako ajira kibao, nyongeza ya mishshra na madaraja, na mikopo vyuoni bila ubaguzi wa rangi. hukuwachukia wa dilpoma na kuwanyima mikopo kama huyu wasasa.

Enzi hiz uchumi wa JPM unakua huku ukiacha raia wakifa njaa na anapenda iwe hivi. no ajira, no nyingeza ya mishahara, no mikopo vyuoni, n.k
 
Back
Top Bottom