Post za Ualimu toka Wizara ya Elimu

MKUU @mabumbe SHAHADA TAYARI SUBIRINI STASHAHADA KI UKWELI server iko busy
 
Jamani mbona post za ualimu ngazi ya diploma hazionekani kwenye mtandao?
au ni mimi tu ndio sioni?..........anae jua hili tusaidieni...
 
kwa wewe unae taka kusoma post usiwe na papara kwanza jiulize simu yako ina pdf reader? Post sio sawa na matokeo ya mitihani kwa ngazi mbali mbali kama haina pdf reader ndio hivyo utaishia kulalamika kuwa ni uongo.
 
otherwise kama simu yako haina pdf reader hamia kwenye pc nakwenyewe pia kama hiyo program hakuna imekula kwako.
 
Asanteni wana JF. kwa taarifa maana ekea hata majina wakati kwenye website ya wizara hakuna kinachofunguka kwa sasa
 
Back
Top Bottom