Shabrahman
Member
- Apr 17, 2014
- 42
- 3
Habari zenu,,,kwa wale wanaofahamu post za o-level 2013 zinatoka lini pls i really nd ur ans.
nadhani zitatoka mwezi wa tano, ili mpate muda wa kujikoki, mwezi wa saba muingie class
may be kwenye tarehe ngapi
Habari zenu,,,kwa wale wanaofahamu post za o-level 2013 zinatoka lini pls i really nd ur ans.