Fanya mpango private tu , no way to run brooNisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
Nenda Kupatana.com, au website ya muhimbili hospitali, ukikosa huko angalia kwenye website ya mzee wa upako.
majina bado ww mbona wasiwasi au una D flat