Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
mhhhhh Kweli nime amini GReat mind think alone yani mnabweka utadhani kuna mwaka ambao watu hawakupeleka form 5 post zitatoka tu na muda wa kujiandaa mtapewa mwingi tu haijalishi shule zimefunguliwa au la...kama mna hamu saaana na hako ka form 5 nenda private basi maana mnavyo lalamika mtadhani hao Tamisemi nao wapo jf kuwa watawasikia kuweni na subira madogo
 
it is impossible mwaka huu kusiwe na form5! let us wait,post will be out soon.
 
labda wahusika wamepoteza baadhi ya majina ya form four leavers. So wanayatafuta
 
duh! hali hiii post tyuu je ingekuwa 2naxubir ajira si tungetoana ngeu.
 
Nimeambiwa hata kutoka chanzo cha kuaminika kuwa kutokana na ufaulu mkubwa wa wanafunzi serikali inaogopa lawama imchukue nani na imuache nani!!!!.
Taarifa zilizopo ni kuwa watadelay mpaka shule za pivate zote zifunguliwe ili wazazi wakate tamaa na kuwapeleka huko. Baada ya hapo watato selection yenye masharti ya kuripoti ndani ya siku 7
 

kwa style hyo watatoa tu
 

sawa tu mi naona serkal inawapa mda fm 5 wa kuxoma mapind ktaa mana wanahofia isije ikatokea mgomo wa walimu ikawakoxt tena pigen mapind tu vjana ztatoka tu
 

una mawaz hafifu xana kjana unaanza kunipa waxwax juu ya ufaulu wako wewe xerkal inawapa mda wa kuxoma mapind ktaa kwa xabab inahofia ucje ukatokea mgomo wa walimu tena haf mkakutwa hamjaxoma hata intro ikawakoxt think twice man dont thnk to be panya road you will go wth water haf nikuulze na hao wenzako 14 wanaxubil post au na kama wanaxubil poxt wote nyie ni ma ndoroboooo!!!!!
 
tumelalamika mpaka tumechoka,mi nishaamua zangu kuvua migebuka ziwa tanganyika mpaka watakapotoa post.sasa kitaa raha tu
 
wasipo zitoa ndani ya wiki hii bac vijana kama vp mwambie mdingi akufungulie banda uanze kuuza
 

iyo kali sasa tatizo serekali ya tanzania inaona ilipokanyaga tu kwan wao walivyoanzisha BRN walitegemea nn xi kuongezeka kiwango cha ufaulu hawakujua shule za advance ni chache zinahitaji kuongezwa matokeo wanafunzi wamefaulu lakini hamna shule.Wanafunzi wengi hawana uwezo wa kwenda shule au vyuo binafsi, wanaishia mitaani .Hii inaonyesha serekali inayoundwa na ccm imeshindwa kuongoza nchi waachie madaraka kwa vyama vingine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…