kama umesikia si tufanyeje? unapo posti kitu tumia akali na mawazo chanya hatutaki vitu vya kusadikika kama vipi weka source ili tujue kuwa unauhakika na unachosema "acheni mawazo ya kuambiwa".
kama umesikia si tufanyeje? unapo posti kitu tumia akali na mawazo chanya hatutaki vitu vya kusadikika kama vipi weka source ili tujue kuwa unauhakika na unachosema "acheni mawazo ya kuambiwa".
Aaaaaaaahaaaaaa
nimekumbuka kitu kimoja ndugu wadau hususah tunao subili post
huko tunakoenda kukabiliwa na wadudu aina ya KUNGUNI
Haswa kwa wale watakaopelekwa itg sec
Aaaaaaaahaaaaaa
nimekumbuka kitu kimoja ndugu wadau hususah tunao subili post
huko tunakoenda kukabiliwa na wadudu aina ya KUNGUNI
Haswa kwa wale watakaopelekwa itg sec
man hao mdo wazury maana watatusumbua tusilale tukasome........sema dsgn kma mud inakat y kusbiri hzo post....mnaohusika wote namuomba mungu awaondolee hayo mapepo yenu ya uzembe amen
sasa mimi kama mwanafunzi ninayetegemewa na ndugu zangu nije kuwasaidia...,na kutokana na hii serikali mbwa koko inayokatalia wanafunzi kwenda shule tutegemee makubwa huku mtaani,binafsi nishaanza kukombakomba vitu vya watu na ninaandaa maandamano mpaka wizara ya elimu na ni kuhusu uzembe unaojitokeza kwa watumishi wake......tumejipanga vijana kama 15 wenye afya nzuri tuu.
Na kama hamtatangaza hizo post kufikia tarehe 25,tunaanza kutembeza MIMBA kwa wasichana wote tunaowaona mbele na PANYA ROAD we are back due to this post delay MJIANDAE.