Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
hapo kijana suala la kwenda advance sahau kwani wanachukua kunzia gpa ya 1.6 labda fanya mpngo wa kwenda private ila sio gvrt school
 
Serikal imeshindwa kutekeleza majukumu yake hata katika hili jamani..... MUNGU IBARIKI TZ
 
hii ni serikali ya viongozi wasio na akili maana hata majukumu yao wanashindwa kuyatekeleza,huwa inatokea najuta kuwa hata mtanzania.......ufisadi nyinyi.......umaskini nyinyi......kuwachinja watu nyinyi.....natamani itokee vita tuchapane kwanza nahisi tutakaa sawa..........Aya sasa na hili la kutanga post nalo mnaona ni shida,kama ni hizo tahasusi mpya si mtangaze alafu msubiri maombi ya wanaohitaji.......ila kiukweli maboa.....mmekaa 2 mnafuga vitambi NDOROBO nyie
 
mkuu, umejitahidi sana kutia mkwala
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…