Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Mm ninapita tu.
Ila tusiwaze sana at kwamba hawatusikii Inshu kubwa ni je humu kuna muhusika hata mmoja aliyeko kwenye secta husika..
Mm ninachojua jamaa walisha maliza kazi zaman ila wameyaweka had itakapofika siku/trh waliyokubaliana,
so kwa sasa wanaonyesha msimamo wao.
 
Napia usistaajabu kumuona uliyesoma nae na ambaye pengine anandugu ambaye yuko secta husika kwa sasa akawa anakaribia kumaliza baadhi ya topic ww ukidhan anapoteza muda wake.
Halafu ukimuuliza anakwambia post zikitoka tofaut nitabadili comb.
 

Ki ukweli selection tayar ila bado tu kutangazwa rasmi.,
 
nataka kuuliza wadau et ukiwa na credit ya 2.4 unaweza kuchukuliwa? alafu comb ni HKL(history-b,kiswahili-b+ na language b+)
 
Mdogo angu alipata credit ya 31 alichaguliwa
rafiki ake alipata merit hakuchaguliwa shule wala chuo

Chakua hatua mapema

dah! hata hivyo serikali yetu ni ya ajabu sana,nasikia waliochaguliwa ni 60% ,hivyo 2700 kuna uwezekano wa kuachwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…