Post za Bujibuji

Post za Bujibuji

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,766
Reaction score
21,473
Nimekuwa nikifuatilia visa vya huyu jamaa.
Jamani naona maisha yake yamejaa wingi wa vituko na vihoja, jamaa ni mjasiri na wala haoni aibu hata kusimulia kwenye kadamnasi yale makubwa yaliyomkuta.
swali langu kubwa ni moja, je kwanini avatar yake kaweka pisa ya Osofia in London?
Kama kuna mtu anamjua fresh Bujibuji, naomba ani pm ili nikusanye some info, na kama Bujibuji yuko tayari tushirikiane kuandike kitabu. naamini kitauza sana.
 
Si ungempm huyo bujibuji mkamalizana wenyewe.
 
sina haja ya kuPM lkn namjua sana tena kwa ukaribu zaidi ni mmjomba wa mwanangu,meaning ni kaka yangu wa dam lkn lol sina ham nae kabisaaaaaaa,maisha yake yamejaa matukio kila kukicha utasema aljazeera!sisi kama familia tumemchoka jamani labda mwenye msaada!kama una maswali yyte plz niulize usisite kabisa.
 
Nimekuwa nikifuatilia visa vya huyu jamaa.
Jamani naona maisha yake yamejaa wingi wa vituko na vihoja, jamaa ni mjasiri na wala haoni aibu hata kusimulia kwenye kadamnasi yale makubwa yaliyomkuta.
swali langu kubwa ni moja, je kwanini avatar yake kaweka pisa ya Osofia in London?
Kama kuna mtu anamjua fresh Bujibuji, naomba ani pm ili nikusanye some info, na kama Bujibuji yuko tayari tushirikiane kuandike kitabu. naamini kitauza sana.

Mkuu mfuate PM mtamalizana fresh
 
Soma katikati ya misitari ndugu usaniii kibao mara nimezodolewa na manesi, mara nini sijui?
Soma between lines. Akiuza cheni feki nasi twampa pesa bandia mwendo mdundo ngoma droo!!

Kumbe hujashitukia hilo mpaka leo nyingi humu za kutunga watu wanafikria then wanarusha live!!!
 
Nime mtumia pm lakini kauchuna, inaelekea beste ana minyodo sana.
Ok ntatafuta namna.
Huyu jamaa anaweza sana kutusaida kwenye soko la filamu za kiswahili
mkuu mfuate pm mtamalizana fresh
 
Soma btwn the lines ndugu yangu usije kuuziwa mbuzi kwenye gunia WHAT YOU SEE IS NOT WHAT YOU GET
 
kumbe kuna na ma c.i.d. hata humu??? sasa na mie nijirekebishe kuepuka haya...
 
Happy New Year......!!!!!!!!!!!!!!! Missing you so much.....!!!!!!!!!! How are you doing dear? Hope alright....!!!!!!!!!!!!!
miss u 2 kk.... i'm ok alhamdulillah... new year inakwenda sawia alhamdulillah,,, what about u??:coffee::A S thumbs_up:
 
Mi sio si ai dii wala shushushu natafuta info za buji ili niweze kuandika kitabu cha movie (script) kutokana na visa vyake
kumbe kuna na ma c.i.d. Hata humu??? Sasa na mie nijirekebishe kuepuka haya...
 
naomba ieleweke wazi sina nia mbaya na buji, nahisi anaweza kunisaidia kwenye kuandika script za sinema, namuona he is much creative kwenye visa na mikasa
 
Bujibuji ni mganga wa Kieneyeji is my best friend.....

17260153
 
usighofu tushakufaham na we vuta subra inshallah utampata..... lakini mi nahisi yule jamaa apatikana sana kule kwenye udaku na jokes..... ukimfatilia utampata...
naomba ieleweke wazi sina nia mbaya na buji, nahisi anaweza kunisaidia kwenye kuandika script za sinema, namuona he is much creative kwenye visa na mikasa
 
nimengea nae nimempa msg yako ngoja nione kamA AKIKUBALI WILL PM U NO YAKE.
 
naomba ieleweke wazi sina nia mbaya na buji, nahisi anaweza kunisaidia kwenye kuandika script za sinema, namuona he is much creative kwenye visa na mikasa

inaelekea hataki.
Kwa visa anavyoandika hata ningekuwa mimi nisingetaka kuonana na watu zaidi ya wale ninaowajua tangu awali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom