pitia 'signecha' yangu.
Hizo post zako zote ni constructives? Au nyingi upupu?
Nadhani zingine za ukweli zaidi ya hii...
Ila kuna kidudu mtu hapo juu ashaaanza kuchafua hali ya hewa!
Huyo bwana...kama N'nyaaa vile,MxMuda jamani muda!!
Ndio mkuu huyohuyo, unaonaje ukimsaidia kwa kumuondoa hapo?huyo wa kwenye avatar yangu?
Kawaida mkuu, welcome to Africa...
chana nae huyo.
Hachelewi kufa afu ukapata 'mada kesi'.
Si unajua tena kifafa kisivyokuwa na dogo?
Huyo bwana...kama N'nyaaa vile,Mx
thanks mkuu.
Nilitaka niweke kama ya mshambuliaji wa Gabon na St. Ettiene, Pierre-Emmerick Aubemayang,
ila nywele zimeniangusha.
Ikabidi nikombeleze ivo ivo...