kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,896
Kipi ambacho hujaelewa poyoyo wewe
Hebu acha uhanitthi basi
Kipi ambacho hujaelewa poyoyo wewe
Narudia swali kipi ambacho hujaelewa hapo team domo, au unajitoa ufahamu, kama unajua sana English nenda kamfundishe bladfaken
Huyo Harmonize tangu zamani huwa anajitahidi sana kuonesha hana matatizo na anataka amani lakini wenzake ni chatu kweli kweli.Diamond alivo na karoho kagumu hatothubutu kujibu
Ndio aina fulani ya taarabu iliyochangamkaHarmonize anaimba taarab una kichaa
Bado teuzi zinampa stress ,mpuuze mkuuDada hv uko sawa wew