Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 #1 Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #2 Hata njiwa nae ANA MAKINDA, lakini hawezi kuwa SPIKA wa Bunge
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #3 Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #4 Hata uwe mtaalamu wa kuosha vyombo kiasi gani huwezi kuosha vyombo vya habari
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #5 Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #6 Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #7 Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #8 Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #9 Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee
MC RAS PAROKO JF-Expert Member Feb 14, 2013 623 595 May 24, 2013 #10 Cool Gentleman said: Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu Click to expand... hahahahahahaa dah hii kali nimeipenda. UBARIKIWE
Cool Gentleman said: Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu Click to expand... hahahahahahaa dah hii kali nimeipenda. UBARIKIWE
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #11 Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #12 MC RAS PAROKO said: hahahahahahaa dah hii kali nimeipenda. UBARIKIWE Click to expand... Umeona eeh . . hebu rushia zingine basi
MC RAS PAROKO said: hahahahahahaa dah hii kali nimeipenda. UBARIKIWE Click to expand... Umeona eeh . . hebu rushia zingine basi
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #13 Lakini kumbuka, daima mpe asiyekupa. Ukimpa aliyekupa, hujampa bali umemlipa.
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #14 Lakini kumbuka ... hata Bakhresa naye ana shida lakini sio ya pesa.
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #15 Na pia usisahau .... hata zipu ina meno, lakini haipigi mswaki.
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #16 Lakini kumbuka ..... Mtumbwi hauna saidimira.
Cool Gentleman JF-Expert Member Jun 10, 2012 330 235 May 24, 2013 Thread starter #17 Lakini kumbuka ...... Hata BlackBerry ina PIN japo haifungi nepi.
M Mdudu Wa Masala Senior Member Feb 17, 2012 134 79 May 24, 2013 #18 Haijalishi ukubwa wa gari..nafasi ya dereva ni ile ile.
D Dafugwadu JF-Expert Member Dec 24, 2012 4,487 4,757 May 24, 2013 #19 Na hata uwe unapenda vipi kumenya viungo vya mboga lakini huwezi kumenya pilipili au bamia
A Almandy Member May 9, 2013 18 3 May 25, 2013 #20 Kumbuka wembe, kisu, na panga vina kata lakini havina madiwani.