drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 294
Airtel hakuna kitu kama hicho mkuu, ni Mb 400 na siyo gb 400... Tena hizo 400 MB ni kwa wale tu wanao browsing kwa kutumia simu.
natumai amekosea kati ya mb na gb
Airtel hakuna kitu kama hicho mkuu, ni Mb 400 na siyo gb 400... Tena hizo 400 MB ni kwa wale tu wanao browsing kwa kutumia simu.
Mkuu gentle reminder tu, ukishapost IMEI watu wanaweza jua IMSI yako na hapo wanakuwa wanajua namba yako na akama uliregister basi unakuwa unajulikana kwa jina lako halisi.Halo Mkuu!!
Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana.
Model: E1550
IMEI: 359124034447644
Tafadhali naomba unlocking code yake.
Natanguliza shukurani