Post graduate ina maana gani?

Post graduate ina maana gani?

Daah kwahiyo postgraduate tunaweza kusema ni masters kwa jina lingine?
hujaelewa nini mzee. ulitaka kujua post graduate ipi? diploma, masters au PhD? ama unataka kusema postgraduate dipoma ni sawa na masters? Big noooo
 
Back
Top Bottom