Post graduate ina maana gani?

Post graduate ina maana gani?

ngoja nijaribu kuelezea kwa uwelewa wangu post graduate husomwa kama hujafikisha pass mark au GPA ya kusomea masters flani
No, masters ni postgraduate degree, postgraduate diploma husomwa na mtu aliyesoma degree ambayo haina connection ya moja kwa moja na master's anayotaka kwenda kusoma ama kazi anayotaka kufanya,. Kwa mfano, wew umesoma computer science na unataka sasa kuwa mwalimu , waweza kusoma postgraduate diploma ya ualimu mwaka mmoja ukawa sawa na yule aliyesomea ualimu tangu degree ya kwanza na pia ukawa na sifa ya kusoma master's ya ualimu.
 
Hata masters yenyewe ni post graduate. Post graduate ni level zote za elimu anazosoma mtu baada ya kupata degree ya kwanza. Hapo kuna post graduate diploma, masters, PhD na Professor
 
No, masters ni postgraduate degree, postgraduate diploma husomwa na mtu aliyesoma degree ambayo haina connection ya moja kwa moja na master's anayotaka kwenda kusoma ama kazi anayotaka kufanya,. Kwa mfano, wew umesoma computer science na unataka sasa kuwa mwalimu , waweza kusoma postgraduate diploma ya ualimu mwaka mmoja ukawa sawa na yule aliyesomea ualimu tangu degree ya kwanza na pia ukawa na sifa ya kusoma master's ya ualimu.
I declare interest! I am a postgraduate and masters holder, sababu ya kwenda postgraduate ilikuwa ni kutaka kubadili fani, na sababu ya kwenda masters ni kutaka kubobea kwenye fani yangu hiyo mpya. Bila shaka nimeeleweka.
 
Wakuu poleni na mihangaiko.samahani waungwana nimekua nikipata shida sana kutokana na hili neno post grafuate.hivi hii Ni ngazi gani ya elimu? Yani ina maana gani?
relating to a course of study undertaken after completing an undergraduate degree.
So can be Postgraduate Diploma, Master or PhD.
 
Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
Tofaut ni kwamba, Postgraduate diploma in education hii inafanywa na mtu aliyesoma kozi yoyote ya dgree ambayo sio education ila anataka kusomea education. Hivyo atasoma kwa miez 18 pekee atakuwa qualified. Masterz in educ hii inafanywa na mtu aliyesoma education kwenye degree yake ya kwanza hivyo anasoma masters sasa katika hiyo hiyo education, ila akichange itakuwa ni postgraduate
 
Duh! Mkuu ongelea unachokijua, naona unaongea uongo mchana kweupe
 
Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
Ngoja nieleze kwa mifano ili unielewe kwa urahisi!.. Kwa mfano wewe umesoma Bachelor Degree in Environmental Planning and Management pale chuo cha mipango Dodoma baada ya kuhitimu ukataduta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Easa unapata wazo la kuajiriwa kama mwalimu wa Secondary kwa sababu kwenye degree uliuosoma kuna masomo jama Geography and Mathematixs ulisoma. Sasa xha kufanya badala ya kuanza kusoma degree ya Education kwa muda wa miaka mitatu wewe unaomba kusoma Postgraduate Diploma in Education kwa mwaka mmoja tu, ambapo masomo yako ya kufundishia itakuwa Hiyo Geography and Mathematics.. Kumbuka walimu wengi wa secondary ambao walisoma degree zisizo za ualimu waliweza kuwa walimu kwa mbinu hiyo... Pia unaweza ukaitumia hiyo postgraduate Diploma kama entry qualification ya kusoma Masters Degree in Education, wakati ulisoma degree ya mazingira undergraduate!!!
NB: wewe ambaye umeaoma degree ya maIngira then ukapiga postgraduate Diploma in Eduxation utahesabika sawa na mtu aliyesomea degree ya Esucation miaka mitatu... Hope umenielewa!!!
 
Nimekupata vizur mkuu
 
No, masters ni postgraduate degree, postgraduate diploma husomwa na mtu aliyesoma degree ambayo haina connection ya moja kwa moja na master's anayotaka kwenda kusoma ama kazi anayotaka kufanya,. Kwa mfano, wew umesoma computer science na unataka sasa kuwa mwalimu , waweza kusoma postgraduate diploma ya ualimu mwaka mmoja ukawa sawa na yule aliyesomea ualimu tangu degree ya kwanza na pia ukawa na sifa ya kusoma master's ya ualimu.
Uzuri wa post graduate masomo ni yale yale tu wanaosoma degree
 
I declare interest! I am a postgraduate and masters holder, sababu ya kwenda postgraduate ilikuwa ni kutaka kubadili fani, na sababu ya kwenda masters ni kutaka kubobea kwenye fani yangu hiyo mpya. Bila shaka nimeeleweka.
Hapo sawa mkuu ila shida ni sauti iko chini ongeza sauti tafadhali
 
Ngoja nieleze kwa mifano ili unielewe kwa urahisi!.. Kwa mfano wewe umesoma Bachelor Degree in Environmental Planning and Management pale chuo cha mipango Dodoma baada ya kuhitimu ukataduta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Easa unapata wazo la kuajiriwa kama mwalimu wa Secondary kwa sababu kwenye degree uliuosoma kuna masomo jama Geography and Mathematixs ulisoma. Sasa xha kufanya badala ya kuanza kusoma degree ya Education kwa muda wa miaka mitatu wewe unaomba kusoma Postgraduate Diploma in Education kwa mwaka mmoja tu, ambapo masomo yako ya kufundishia itakuwa Hiyo Geography and Mathematics.. Kumbuka walimu wengi wa secondary ambao walisoma degree zisizo za ualimu waliweza kuwa walimu kwa mbinu hiyo... Pia unaweza ukaitumia hiyo postgraduate Diploma kama entry qualification ya kusoma Masters Degree in Education, wakati ulisoma degree ya mazingira undergraduate!!!
NB: wewe ambaye umeaoma degree ya maIngira then ukapiga postgraduate Diploma in Eduxation utahesabika sawa na mtu aliyesomea degree ya Esucation miaka mitatu... Hope umenielewa!!!
Mkuu unalevel gani ya elimu?
 
I declare interest! I am a postgraduate and masters holder, sababu ya kwenda postgraduate ilikuwa ni kutaka kubadili fani, na sababu ya kwenda masters ni kutaka kubobea kwenye fani yangu hiyo mpya. Bila shaka nimeeleweka.
Wewe ni Holder wa postgraduate diploma na Masters!
 
Duh! Mkuu ongelea unachokijua, naona unaongea uongo mchana kweupe
Wewe ndiyo muongo. Jamaa kazungumza ukweli, kuna baadhi ya kada huwez kusoma masters yake kama hujaisomea degree au postgraduate diploma. Miongoni mwazo ni Education.. Ili usome masters ya education ni lazima either uwe na bachelor ya education au postgraduate diploma ya education.

Yaani huwez kuwa na Bachelor ya PSPA au HR alaf eti ukasome masters ya education. Never....
 
Daaah hili sasa wazo jipya kabisa tena.ina maana kama postgraduate iko ndani ya masters hii inaashiria kwamba masters ni ndogo kuliko postgraduate? Au postgraduate degree tunaweza kusema kwa jina lingine ndiyo masters???
Post means after...Chochote kilichoko bahada ya first degree ni Postgraduate study ila Masters ni degree ya pili kiutaratibu.

Postgraduate huwa ni special program ambayo hutolewa on top of degree ya kwanza na mara nyingi huwa ni fupi fupi ili kutanua wigo kitaaluma ama kusawazisha ufaulu wako kwenye degree yako ya kwanza. Huwa ni diploma na ziko equivalent na degree.

Ni kama mtu umepata degree ya Marketing ila unataka kusoma na degree ya finance badala ya kujiandikisha na watoto mwaka wa kwanza kuna special programs kwa watu wenye degree tayari ndio zinaitwa PGD so unaangalia PGD-Finance unaji enroll. Unapiga mwaka na nusu au miwili una Graduate badala ya miaka mitatu kama first degree.
 
Daaah hili sasa wazo jipya kabisa tena.ina maana kama postgraduate iko ndani ya masters hii inaashiria kwamba masters ni ndogo kuliko postgraduate? Au postgraduate degree tunaweza kusema kwa jina lingine ndiyo masters???
Amesema Masters iko ndani ya post graduate
 
Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
Tofauti Ni kwamba huyo aliyepo postgraduate diploma in education yupo njiani kuelekea Mater's degree in education.
 
Swali lako liko too general ndo maana kuna majibu sahihi kbs unapewa lkn unashindwa kushika lipi cause ur question is too broad, but, ntajarb kufafanua kadrinami navyoelewa kdgjuu ya hili:
1. Postgraduate ni kitu baada ya shahada ya kwanza, so kama ni mwanafunzi anayesoma kitu baada ya shahada ya kwanza huyo ni postgraduate student, kama ni kitu kinachosomewabaada ya shahada ya kwanza hicho ni postgraduate program
2. Postgraduate programs hizi zipo za aina nyingi, ntazidadavua kidogo, maana nahisi swali lako lilinga hapa:
i. Postgraduate Diploma (PGD):
Hii ni program inayofanywa na mtu mwenye shahada ya kwanza au equivalent qualifications, PGD mara nying inatumiwa na mtu mfano ana Bachelor ya kitu A na anataka kufanya Masters ya kitu B, hivyo anafanya PGD ya hicho kitu B then anafanya hiyo Masters ya hicho kitu B
ii. PGD inatumika kwa mtu mwenye shahada ya kwanza ya kitu A au equivalent qualification to shahada ya kwanza ya kitu A na ataka kufanya masters ya kitu hicho hicho A, lkn ufaulu wake wa shahada ya kwanza ni wa "pass degree" yaani GPA ya 2.0-2.6, huyu sasa anafanya PGD ya kitu hicho hicho A ili aongeze sifa za kufanya Masters ya hicho kitu A.
iii. Wenginine wanafanya PGD kwa ajili tu ya kuongeza maarifa, mtu ana shsahada ya kwanza ya kitu A na GPA nzuri kbs, lkn anataka kuwa na maarifa ya kitu B pia, sasa anafanya tu PGD ya hicho kitu B basi ili ajiongezee maarifa zaidi.

Pole kwa maelezo marefu
 
Back
Top Bottom