Jamani sio Matokeo Mmewapigia simu kuwauliza
Nikisahau kukwambia ilikuwa ni kwenye simu kaka ni app ya kwenye simuDaaaaah! Mkuu kwenye pc hiyo app ilileta dimension sawa ila sasa ilikuwa inabadili image type kwenda kwenye bmp..
Imenibidi nidownload app nyingine inaitwa image converter bot... Imeweza kuirudisha kwenye jpg na kuifanya iwe ndogo zaidi..
Shukran mkuu kwa kunipa mwanga
Mi nafanya mwenyewe home, Picha nimepiga kwa kutumia simu yangu ila ndo zinakataa. Picha umetoa wapi na hazijasumbua..??
sasa kwa sis ambao hatuna printer si mpka stationary au inafaa kudowload il ukaprint baada ya kujaza online?Mi nafanya mwenyewe home, Picha nimepiga kwa kutumia simu yangu ila ndo zinakataa. Picha umetoa wapi na hazijasumbua..??
Jana hata kwenye simu ukifika stationary unalipa hela ya kuprintsasa kwa sis ambao hatuna printer si mpka stationary au inafaa kudowload il ukaprint baada ya kujaza online?
koz m nina pc
Pia unaweza kutumia Microsoft office picture manager. Unaedit picha yako (resize to 150-120)ID passport photo maker kuna sehemu ni custumize size unaweka unayo taka kwa kwa kuandika ile walio kupatia
Kama siyo matokeo nini? Leta habari zilizokamili usaidie wengineJamani sio Matokeo Mmewapigia simu kuwauliza
Kuna baadhi ya vipengele utatakiwa ujaze ukiwa online.. Baada ya hapo huwezi kuidownload sbb kuna option ya kuprint moja moja, yaan unatoa document ulizojaza online moja kwa moja kwenye printer zinapita..sasa kwa sis ambao hatuna printer si mpka stationary au inafaa kudowload il ukaprint baada ya kujaza online?
koz m nina pc
Nimepost mara nyingi nimesema wamesema wamewasiliana na necta wawape majina so kesho itakuwa pouwa walisema wanalishughulikia! Yaani Namba za wanafunzi hadi Matokeo???? Hao wanafunzi wamefanyaje mtihani bila kuwa registered?Kama siyo matokeo nini? Leta habari zilizokamili usaidie wengine
Nimewapigia wamesema wanashughulikia sio mpaka matokeo yatoke kesho itakuwa tayari
wadau kama hamta jali niambieni kabla sijaanza application vitu gani vya msingi navyopaswa kua navyo?.shukrani
Aaaaah mkuutarakimu nane kweeeliiii?????
Mi mbona cjaona kitu kama hicho kuwa wanahitaji tarakimu 8 mkuu??
asante mkuuu,hope vyote hivyo lazima viwe softcopy?IDs, birth certificates, Id ya mdhamini wako, picha yake na yakwako ppsize, kama amefariki cheti cha kifo kwa mzee ni muhimu, form 4,6 index no., mengine ni kawaida tu
tumia pc snip picha yako iwe saizi ya kutosha kichwa na shingo kidogo then save as PNG file format alafu uploadKwenye ku.upload photos inaniletea uchawi kweli haikubali sijui kwann.
Wameniandika max size..ni 1MB mi nimeweka yenye 0.34 ila naona alama nyekundu.
Type ya photo wameandika ni (.jpg or .pjn)
Mi nimeweka jpg ila kuna red mark, shida nin hapa.??
ok hata kama hujamaliza kujaza sio kwamba utaanza upya ukikataKuna baadhi ya vipengele utatakiwa ujaze ukiwa online.. Baada ya hapo huwezi kuidownload sbb kuna option ya kuprint moja moja, yaan unatoa document ulizojaza online moja kwa moja kwenye printer zinapita..
Ukizitia karatasi mkononi kuna vipengele vingine vya kujaza kwa mkono..
Kwaiyo anza kujaza vilengele vya mwanzo mpaka itakapokuambia print.
Then nenda stationery sabb una username yako na password.
Utafugua profile yako then utaprint mojamoja kwa huyo mtu wa stationery, wenyew wanaelewa wale
asante mkuuu,hope vyote hivyo lazima viwe softcopy?
asante mkuuu,hope vyote hivyo lazima viwe softcopy?