Haina shida. Nikipata nafasi nitatupia hapa hiyo kitu tuichambue.

Shukrani sana mkuu Mkuu Monstgala/Mgalanjuka
Kabla hatujaenda mbali ningependa nijue je tunapaswa kuiamini DRAKE'S EQUATION kwa 100%
.made in mby city.

Mkuu NICOLAX nasikikiaga sana hii kitu inaitwa DRAKE'S EQUATION hebu nipeni maujuzi kidogo na mm kabla hatujaenda mbali sana
Mkuu MONSTGALA uko wapi Mkuu?
Mkuu Monstgala/Mgalanjuka nipo interested sana na hii elimu ya anga, kiufupi naipenda sana tangu nipo mdogo
Mkuu je naweza kusoma bachelor ya hii mambo?
Je ntasomea wapi?
Je ina dili kweli hii kitu au ndo nijiandae kuisoma kama hobie tu?
Kwasasa mimi ni mwanafunzi kidato cha sita PCM taker
Nategemea sana ushirikiano wako mkuu
.made in mby city.
Nadhani hailipi kwa Tanzania. Kama unadhani unaweza kujiendeleza katika vyuo vya Marekani, Ulaya au nchi nyingine zenye program hizi unaweza kujaribu. ningekushauri soma bachelor program inayoweza kukukwamua kiuchumi na ukiwa na kipato kizuri unaweza kujiendeleza katika fani hii baadae.
mkuu unaweza ukaniambia uhusiano wa muonekano wa constellation sagittarius na katikati ya milkwaygalaxy(black hole-)Mkuu Mjuni Lwambo, Kwa lugha nyepesi, makadirio ya idadi ya nyota katika ulimwengu wote yamebase kwenye vigezo vya standard za observable universe. Hii ina maana average ya nyota katika galaxi moja [galaxi ziko aina tofauti na size tofauti, ndogo (dwarf galaxies) zinaweza kuwa na maelfu ya nyota kwa kila moja na zile kubwa kabisa (giant elliptical galaxies) zinakuwa na kuanzia trillioni moja mpaka trillioni mia moja kwa kila galaxi], eneo la universe ambalo ni miaka 13.8 bilioni ya mwendo wa mwanga,(Mwanga husafiri kwa mwendo wa kasi kuliko mwendo wa kitu kingine chochote tunachokijua. Kwa mfano katika sekunde moja mwanga unasafiri umbali wa kuzunguka dunia mara saba.) kadirio la idadi ya galaxi ambazo ni zaidi ya bilioni 100 na kwa makadirio ya karibuni ni galaxi 170 bilioni katika observable universe.
Kwa lugha ngumu itabidi niweke calculations za wataalam hao jinsi walivyokokotoa hizi approximation. Sijui hii inatosha?
NB:Lakini pia inawezekana universe ni kubwa maradufu ya hiyo tunayoweza kupima au pia inawezekana haina ukomo (infinite).
Nitajibu kulingana na mwandishi wa vitabu ambaye pia vitabu vyake vimejenga imani ya dhehebu langu. Anaandika na kusema, katika safari moja, alionyeshwa malimwengu mengine ambayo watu wake wanaishi pasipo dhambi, maana wao hawakukubali madanganyo ya shetani katika kipindi cha kutafuta makazi baada ya kutupwa toka mbinguni, na anaendelea kwa kusema, hata katika safari ya kwenda mbinguni, tutapita katika malimwengu hayo, ili waone namna mwana wa Mungu alivyofanya kazi kubwa kuokoa viumbe wake.
..Mkuu kwanza sio Godlock ni Goldilock,na ni kweli unachokisema kuwa hio zone inasupport Life but concept ya sayari kuvutwa towards the sun haina maana Ya kwamba we are moving miles closer to the sun tupo hapa hapo na tutabak hapa hapa since a GoldiLock zone Ina intervals no more life itakua created popote paleWanabodi,
Nimepata maswali mengi sana kuhusu dhana ya viumbe anga za mbali. Baadhi nitayajibu hapa kadri ya uwezo wangu.
Utata:
Wana-anga na wanasayansi wamekuwa wakiangalia mienendo ya nyota, sayari, miezi na vitu vingine vilivyoko mbali nasi(outer space) na hata jirani na Dunia yetu au katika ya mfumo wa Jua (Solar system) ili kuhakiki kama kuna maisha kwa sasa, au kuliwahi kuwa na maisha kabla. Baadhi, kwa mazingira zilizonayo maisha tuyajuayo hayawezi kutokea, hamna hewa, hamna ardhi , joto ni kubwa sana au dogo kabisa etc. Lakini pia baadhi ya sayari na miezi (moons) zina ardhi, atmosphere, na aina fulani ya kiwango cha hewa ingawa si sawa na uwiano sawia na ule wa Dunia.
Mbali na kuangalia sayari pia kuna utafiti wa ku-trace signals from outer space kama SETI na science institutions nyingine zile za wazi na za siri wanavyofanya na sasa ni muda mrefu utafiti wa aina hii unaendelea. SETI wanabase katika Drake's equation kutambua ni nini kinahitajika katika kujua maisha katika anga za mbali. Mbinu nyinginezo nyingi zinatumika kutafuta alama au ishara fulani ambazo zinaweza kuwa ni either mawasiliano ya viumbe hawa wenyewe kwa wenyewe au labda pia wao kama wanatafuta kujua kama kuna wengineo kama jinsi sisi tunavyodhani.
Msingi
Na kama tujuavyo ni ukweli usio na shaka kwamba kuna nyota nyingi sana zinazofanana na jua letu katika maeneo mengine ya mbali sana kutoka sisi tulipo katika universe. Wanasayansi wanasema nyota zinazofanana na Jua letu ni kati ya asilimia tano hadi ishirini (5% - 20%) ya nyota zote katika Universe tunayoweza kuiona (observable universe). Hili neno la universe tunayoweza kuiona lina maana kwamba pale tusipoona basi kuna uwezekano universe inaendelea au kunavitu vingine tusivyovijua lakini makadirio yanayofanyika ni ya ulimwengu tunaoweza kuuona.
Sasa ukumbuke katika mada ile ya Ukweli wa kustaajabisha kuhusu Nyota, nilisema nyota zinakadiriwa kuwa sextillion 100 au zaidi katika ulimwengu tunaoweza kuuona sasa tukisema mfano tuchukue tu asilimia 5 yake, basi tutakuwa tunaongelea nyota bilioni-bilioni 500 zinafanana kimazingira (joto, ukubwa, umri, aina, uwepo wa sayari) na Jua.
Kwa hiyo basi kama kuna nyota zinazoshabihiana na Jua, na pia zina sayari zinazozizunguka tena baadhi ya sayari zina mazingira kama ya Dunia. Kwa probability na scientific evidence, sayari zinazofanana na jua ni lukuki hii inafanya pia uwezekano wa kuwepo Earth-like planet au sayari zifananazo na Dunia kuwa mkubwa. Kama kuna sayari nyingi zenye ardhi na zenye mazingira yanayofanana na dunia basi inakaribisha zaidi dhana ya kuwepo uhai sehemu nyingine katika ulimwengu.
Cha kushangaza:
Hamna ushahidi uliotangazwa "wazi" kuhusu kuonekana kwa viumbe wengine/uhai so far kutoka kwa institutions hizi, serikali za nchi au mamlaka nyinginezo. Lakini theoretical views, scientific projections, personal claims, and philosophical reviews zinaleta information nyingi tofauti kuhusu possible intelligent beings out there.
Wanaofikiri kuhusu dhana ya viumbe vingine nje ya sayari yetu hawatarajii sana kuwepo na binadamu wanaofanana na sisi, viumbe wa kawaida au uhai kama tunavyoujua. Ingawa hilo linawezekana lakini kumbuka kisayansi mazingira yanachangia sana mwonekano au matokeo ya viumbe. Kama mazingira yakiwa tofauti kidogo basi matokeo ya maisha au viumbe yatafuata mkondo. Hili tunaliona hata katika viumbe wa kawaida wa duniani jinsi wanavyokuwa na vigezo vinavyoendana na wao kumudu mazingira yao. Kwa kuwa hata hizi sayari zinazofanana na dunia haziwezi kuwa na mfanano pacha yani circumstance zile zile basi tusitegemee kukutana na viumbe wanaofanana asilimia mia na sisi. Jinsi kila kitu kinavyoonekana leo hii ni matokeo ya jinsi mazingira yalivyokuwa miaka milioni iliyopita na vivyo hivyo kadri muda unavyoenda.
Kuwa na akili zaidi yetu au kuwa na maendeleo na technology kubwa sana zaidi yetu hili ni wazi na lina sababu zake.
Kwanza kuna uwezekano wa utofauti wa maisha kuanza mapema au baadae hivyo kufanya viumbe wengine kama wapo basi wengine wanaweza kuwa wame-evolve zaidi yetu kwa kuwa na muda mrefu zaidi katika ulimwengu au vice-versa. Kama tukichukua mfano wa dunia yetu (Earth), maisha yanakadiriwa ku-evolve kutoka katika simple form kati ya miaka bilioni 3.5 iliyopita hii ni kutoka kwa evolutionists. Kuna sayari zilizo na muda mrefu zaidi ya dunia na hapa lazima utaona katika hali ya kawaida sisi ndo tunaanza na kuna wengine waliokwisha piga hatua kubwa sana. Na hata tukisema katika sayari nyingine kuna viumbe waliumbwa au walitokea mamilioni ya miaka kabla yetu alafu sasa tujilinganishe nao lazima watakuwa wametuzidi mbali.
Pili, kama kuna viumbe wataweza kufika katika sayari yetu basi hii ina maana technology inayowezesha kusafiri umbali huo si ya kawaida. Kuna umbali mrefu sana kati ya nyota moja na nyingine hasa zile ambazo haziko katika mfumo wa nyota panya au nyota kundi. Hata nyota iliyo jirani yetu si rahisi kuifikia kwa technolojia ya usafiri tuliyonayo sasa.
Kwa kuwa maswali yaliyoulizwa yamekuwa na uwigo tofauti basi ni vyema kuyajibia hapa kwa ujumla wake, pale nipatapo nafasi au mtu mwingine ajuaye achangie.
Karibuni.
CC: juve2012 kadoda11 NICOLAX fyddell mtoto wa mjini neo1 Mjuni Lwambo Eiyer CYBERTEQ
mmh mambo makubwa haya.Wanabodi,

Nadhani kutakuwa na vyakula vyao maalum mkuuSory! HV wana anga wanapoenda ktk uchunguzi huko juu! Ndani ya kile chombo wanabeba na Misosi kama ugali,wali au pizza?????
Mkuu Monsstgala Uko wapi siku hizi, tunamiss sana madini yako.Wanabodi,

Mkuu Monsstgala Uko wapi siku hizi, tunamiss sana madini yako.
Mm ni mmoja wa wale tuliokuwa tunakufuatilia tangu enzi hizo.
Rudi mkuu uje kuendelea kutupa madini ya aina hii