Posho za wabunge: Kigwangala on January Makamba

Tangu lini chama kikaongoza bunge?Kigwangala hajui kuwa Bunge ni muhimili wa nchi?Kigwangala hajui kuwa hoja ya posho ilipitia katika vikao vyote halali vya bunge?Kigwangala hajui kuwa Bunge na wabunge wamewekwa na wanawajibika kwa wananchi?Kigwangala haelewi kuwa vikao halali vya bunge vikishahalalisha jambo la kidhalimu kama hilo na mbunge akaona hajapendezewa basi uamuzi mzuri ni kuwapeleka hoja yake kwa wananchi? Ina maana Kigwangala anafikiri NEC ina uwezo wa kubadili kilichoauliwa na Bunge?Sasa naanza kuamini kumbe hata mjadala wa katiba pia waliupitisha huku hawajui kuwa Bunge linapaswa kuwa kwa ajili ya kupitisha wanayoyataka wananchi. Nawaonea huruma wananchi wanaoongozwa na Kigwangala.
 
Ngwala ni msanii kaa wasanii wengine, ila huyo mkataa posho naye naona bifu lake na ukoo wa chif Mangungu umefkia pabaya. Aangalie asije na yeye akaishia kupelekwa India.
 
EMT, kwa nini unaleta issues za kijiweni kwenye serious talk?. Dr. Bagaile ni member humu, angekuwa na serious issue si angepost humu?.

Sasa yeye amepost kule fb kwenye kuimbiana mapambio, kwa nini ulete issues za fb humu au unataka huyu imposter aendelee kuvuliwa nguo humu?!.

Mule mjengoni kuna wabunge watumishi wa watu na kuna wabunge wanaotumikia matumbo yao 'gold diggers'. Utawatambua kwa kauli zao!.

Wow! Kumbe kwako posho za wabunge ni issue ya kijiweni?
 
Dogo Kigwangala amepotoka. Kuongelea UTARATIBU wa chama kwenye ishu inayohusu PAYE yangu ni ulevi tu. Ila wabunge kupata ujasiri wa kujikatia keki kubwa si kosa lao, ni kosa letu sisi Watanzania tunaoendelea kulala fofofo tukikubali kuwakilishwa kwenye mgao wa keki ya Taifa. Eti Mbunge achukue laki 2 ili aje kunichangia kwenye SENDOFF ya mwanangu, pure madness on top of ignorance.
 
Wow! Kumbe kwako posho za wabunge ni issue ya kijiweni?
Seriousness ya issue inategemea mnaizungunzia wapi. Mkikutana chooni wakati wa kujisaidia, mtakayoyajadili huko no matter how serious they are, yatabaki ni majadiliano ya chooni!.

Yeye ni memba humu na pia ni mfuasi wa fb kama mimi na wewe, yeye kaona hii ni issue inayofit kule fb, unaileta humu ya nini?!. Ili avuliwe nguo na kutembezwa mtupu?!.

Humu watu wanakata issues, kule watu wanauza sura, sasa wewe unaleta issue za wauza kura kwa wakata issue wasioangalia sura!. Si wataipaka ... hiyo sura na kuishia kumchafua!. Fb waachie wauza sura na humu leta za wakata issue!.
 
Mara nyingi huwa na kwazwa sana na michango ya huyu Kigwangala, ni mtu asiye na msimamo na ni mfano mbaya sana kwa vijana wapenda mabadiliko na maendeleo, sasa kama kuna vikao kwa nini na yeye asisubiri vikao ili aweze kumsema January, au anataka kutuaminisha kuwa hana mawasiliano ya moja kwa moja na mbunge mwenzake, halafu anasema kwa nini mwenzake kama anapinga asisusie posho, issue ya posho kila mtu anaelewa ni mfumo, kususia pekee siyo suluhisho la tatizo hili.

We Gamba Jipya hapo red umesema sahihi.Swali langu kwako:Leo ndio umeona kwa sababu anasemwa January sio?Wakati Ule Chadema wanapinga,na Shibuda anakubali ulisema Chadema Wanafiki kupinga Nje sio?Kama usipokuwa bias nakuhakikishia tutafika,usisubiri CCM ndio uumie,ukweli tuwe tunaukubali hata kama unatoka upande tusiopenda kisiasa.Nakuunga mkono hoja yako.Kingwangala ni Mzushi,Jina sio lake Magamba walimlinda maslahi binafsi na anajua hili ndio Bunge la maisha yake hata kaa akanyage mjengoni tena baada ya hapa!!!!
 
EMT, kwa nini unaleta issues za kijiweni kwenye serious talk?. Dr. Bagaile ni member humu, angekuwa na serious issue si angepost humu?. Sasa yeye amepost kule fb kwenye kuimbiana mapambio, kwa nini ulete issues za fb humu au unataka huyu imposter aendelee kuvuliwa nguo humu?!. Mule mjengoni kuna wabunge watumishi wa watu na kuna wabunge wanaotumikia matumbo yao 'gold diggers'. Utawatambua kwa kauli zao!.
...Pasco, hili kuletwa humu ni sawasawa. Kuna mambo mengi ambayo hayana faida ya kimjadala huletwa humu na kujadiliwa sana tu. Hili lina faida ya kimjadala.

...Watu watamsema sana Mhe. Makamba, ila, watakumbuka hoja zake na mantiki ya hoja zenyewe. Kwanini tuwe watu wa kuangalia mtoa hoja na si umuhimu wa hoja? Tukumbike kuwa, hivi majuzi tu, wabunge wa ccm na cuf waliijadili cdm na Mhe. Lissu badala ya muswaada uliokuwa mbele yao. Achilia mbali hoja zilizotolewa na upinzani.

...Si kazi, ndio maana tumebaki kuvuana magamba tukishindwa kutimiza ya msingi tuliyotumwa na wananchi.

...By the way, hoja ya kupanda kwa posho si suala la kuongelea kwenye vikao vya chama pekee, kwani, haikuanzia huko na haiwezi kupatiwa ufumbuzi huko.
 
Panapofuka moshi, chini kuna moto, in the big picture ina maana kuna mfukuto huko ndani ya wabunge wa CCM je ni kwa ajili ya Taifa au matumbo yao?
 
Mabadiliko ndo dawa ya yooote haya- V8 vs Bajaji, Umeme juu vs Umeme bure kwa vigogo, Miaka 50 Uhuru vs Dawatiless-Jobless- etc. Hata sielewi nani anasikiliza vilio hivi. Maamuzi mengine hata unashangaa wanaotoa kama wapo ndani ya nchi hii na wanaona HALI HALISI ILIVYO ama wanafanya kama rimoti tu.
 
Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

“Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”
haka kajamaa sijui ni kadaktari ka nn coz kanafuka pumba sana with no critical...yaan sijui kanatafuta umaarufu wa kishezi ...to hell kigwangala...MUNGU akulaani sana upate majipu mdomoni,mapajanai na makwapani...labda utajua machungu wanayopata watyanzania kwa hizo posho zenu
 
Panapofuka moshi, chini kuna moto, in the big picture ina maana kuna mfukuto huko ndani ya wabunge wa CCM je ni kwa ajili ya Taifa au matumbo yao?
Mkuu William, Mzee Mwanakijiji alishawahi kuulizwa hili swali, " Wapiganaji walioko CCM, wanapigania nini?.

Nakusubiria kwa hamu na mpiganaji wewe uliyeahidi kuingia msituni only if.. !.
 
Kigwangala anachemsha ..

Ni wendawazimu kutetea posho ya wabunge..

January yuko sawa, vipi mtu anayezungumza mambo ya msingi akuudhi wewe MP halafu kijana what a shame??
 
Back
Top Bottom