Posho za wabunge: Kigwangala on January Makamba

Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

“Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”

Kwanini yeye anatumia facebook na si vikao halali kutoa haya malalamiko?
 
Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

“Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”

Maneno kama haya yangeandikwa na mtu ambye ni "mwanasiasa" nahtatauma yake inaendana na siasa siasa nisingeshangaa sana. Maneno kama haya yangeandikwa na mtu kama Nape ingekuwa sahiihi japo kwa 65% kwa mtazamao wa kichama yaani CCM.

Cha ajabu na kushangaza ni maneno kama haya yanatka kwa mtu ambaye taaluma yake ni udaktari. Mtu ambaye tunadhani si mwanasiasa per see . Ni maneno ya mtu ambaye ndio tunategema awe wa wanza kuweka maslahi ya taifa kwanza na chama baadae.

Lol kweli CCM inacheksha . Dr kingwala mara hii kishakuwa kada wa CCM mzuri kumzidi J.Makamba. Lol kumbe kuwa qulfied politician ni kazi ndogo sana.

kwa comment hiyo namtukunu Dr Kingwala shahada ya siasa. Ikiwezekana JK amtafutie nafasi kwenye chama awe karibu na Mukama na nape
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Amekosa cha kuandika!angewasalimia hata wana NZEGA!
Ndivyo inavyooneka. Labda anaweza pia kusema kwa vile Mh Zitto nae ana vyeo bungeni na kwenye chama chake, basi akatumie platform kuongelea mambo ya posho.
 
Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

“Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”

Hayo angeyasema kwenye vikao vyao hivyo, hivi alivyoweka feibuku sioni tofauti zaidi ya unafiki wa wanasiasa.
 
Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

“Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”

Hamjarogwa ila ni upunguani tu unawasumbua.
 
bila shaka huyu yupokwa ajiliya tumbo lake...hakuna swali hapa ..
 
Ya Facebook yaachwe Facebook, Dr Kigwangalla ni mwanachama hapa JF, lakini akaona aende facebook na sio JF,... Kwa ninavyo elewa facebook inavyofanya kazi, ni marafiki zake ndio watakua na access na WALL yake na kusoma mabandiko yake, sasa wewe kama ni rafiki yake huku JF hayatuhusu, hayo ni mambo ya marafiki zake. Ulitakiwa umueleze hukohuko Facebook kama hilo analosimamia ni sahihi au la.

After all nini kazi ya Social Media sites kama Facebook kama si kupashana habari na kuzua mijadala baina ya "marafiki".
 
Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

“Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”

kumchinja kobe ni timing,makamba is playing safe so far... he is resonating with Tanzanians,haijalishi anatoa maoni yake wapi.
Kigwangwala ni mpenda sifa na tena mpenda public attention sana kinachomuuma hapa ni WIVU tuuu...
si kingine na yeye anatamani angalau asikike.

Makamba hata kama ana mapungufu yake lakini katika hili amewapiga bao wana ccm,amejua kuwa nguvu yake iko kwa wananchi na sio ccm,hata kama akifukuzwa ccm anajua wananchi watampokea,lakini je mtu kama Kigwangala na Lusinde mnaojifanya wafia chama mnadhani wananchi wanawachukuliaje?

Hayo mawazo uliyo nao kigwangala ni ya kizee zee na yemeshakuwa makuu kuu,hebu zinduka safari yako bado ni ndefu kama unataka kufanikiwa.

Go Makamba,go Zitto Kabwe...
 
inavyoonekana huu ndio mfumo wa uendeshaji wa hiki chama chetu...ni full mipasho we kaseme kule me nikaseme huku,ni style ya maslahi yangu kwanza ya chama baadaye ya raia ndo hata hayana maana
 
Ninavyojuwa mimi Kigwangwala ni Acting Parliament member for Nzega constituency, mwenye jimbo ni Bashe kwahiyo ni lazima awe mkali kwenye swala la posho kwani anajuwa wazi kwamba hawezi kurejea tena bungeni hivyo anatafuta utajili wa haraka.
Kigwangwala ni member hapa JF hawezi kuthubutu kuja kuandika huo upumbavu wake hapa JF, anaufahamu vizuri moto wa hapa.
 
EMT, kwa nini unaleta issues za kijiweni kwenye serious talk?. Dr. Bagaile ni member humu, angekuwa na serious issue si angepost humu?.

Sasa yeye amepost kule fb kwenye kuimbiana mapambio, kwa nini ulete issues za fb humu au unataka huyu imposter aendelee kuvuliwa nguo humu?!.

Mule mjengoni kuna wabunge watumishi wa watu na kuna wabunge wanaotumikia matumbo yao 'gold diggers'. Utawatambua kwa kauli zao!.
 
Ya Facebook yaachwe Facebook, Dr Kigwangalla ni mwanachama hapa JF, lakini akaona aende facebook na sio JF,... Kwa ninavyo elewa facebook inavyofanya kazi, ni marafiki zake ndio watakua na access na WALL yake na kusoma mabandiko yake, sasa wewe kama ni rafiki yake huku JF hayatuhusu, hayo ni mambo ya marafiki zake. Ulitakiwa umueleze hukohuko Facebook kama hilo analosimamia ni sahihi au la.

After all nini kazi ya Social Media sites kama Facebook kama si kupashana habari na kuzua mijadala baina ya "marafiki".
Asante Alwatan, nimecoment the same, fb ni sehemu ya kuimbiana mapambio. Kwa nini alete humu mambo cheap ya fb?!.
 
Umeonaa hee....kuna watu wanafadhili kuimbiwa mapambioo tea kwa kutumia neno vijana..humu JF na kwenye media zetu ili waingie vichwani mwa watu nakuonekana ni bora na wenye misimamo ya kizalendo ili wao na wafadhili wao watunyonye vizuri,Sahivi kuna mashindano sijui blog gani na humu walipitisha tangazo lao siku moja eti mashindano ya wabunge vjana sijui..shv uongozii imekua kama umiss hadi ushindanishweee...uongozi ni kuwaajibikia wananchi na utaonekana tuu...sio kupigakelleee kwenye media naa mitandao ya jamiiii....tena habari za madhaifu yao hazipewi nafasi,sasa fb za watu tujadili humuuu..ili iwejee...???????????
 
Yeye kama nani?

Chama cha mapinduzi kina structures zake zilizoundwa kikatiba ; sasa hii study group anayotaka kuiunda Kingwangala imebalikiwa na katiba ya ccm ipi? Kigezo gani huyu mbunge wa Nzega atatumia kujua hao anaowaita CCM DIE-HARDS? Huyu mbunge anatafuta cheap popularity /.
 
Utaongelea wapi ndani ya vikao vya CCM wakati umezungukwa na watu wasiokuwa na huruma kwa watanzania? Hivi kama mtu anafikiria mama mjamzito abebwe na bajaji wakati yeye akitumia V8 atakutetea mimi na wewe tunaotembea kwa miguu yetu ingawa tumekondeana sababu ya dhiki? January anaongea hivyo maana 95% ya wabunge na viongozi wa ccm ni corrupt na huwezi kupenyeza hoja ya kutetea raia ndani ya ccm kwa kugusa maslahi yao!

Mkuu ni kweli ulivyonena! Dogo kazungukwa na mabazazi ukigusa maslai yao wanakutoa macho..real yale majamaa ya ccm hayana huruma kabisa na wananchi
 
jamani mwacheni january. mnaendeleza majungu nyie, mmetumwa na waziri wa umeme. january kafika hapo alipo kwa juhudi zake mwenyewe na utendaji wake wa kazi. chama kimemuamini kuwa kijana safi ndo maana ana vyeo vyote hivyo. kwa hiyo kundi la ngeleja na riz1 wanaotaka kummaliza inabidi wapoze hasira zao.
Acha kujipendekeza!! rudi U-Turn mkaongee majungu na washamba wenzako, acha kujipendekeza unatia aibu! Usipende kujioverclassify yourself, hamna mtu yeyote aliyemkandia January, tunamponda Kingwalangwala na useless posts zake.

Kaa pembeni, pisha njia!...... katafute wazungu huko ujione na wewe celebrity.
TOKA HAPA!!! na usirudi tena!!
 
[h=2]Kigwangala anataka kutuaminisha yeye ndo anayejua utaratibu wa kutumia hizo platforms, kumbe yeye mwenyewe ni janga la kitaifa kwa vijana wapenda mapinduzi ya kimfumo wa kiutawala hapa TZ. mi namuona kama mtu aliyefilisika kimawazo​. huwezi kumkataza mwezio kufanya jambo wakati nawe unalifanya hilo hilo. Kigwangala kaa kimya bhana unatuchefua sisi vijana wenzako wapenda mabadiliko. ndo maana polisi walikutandika na bado uko chama cha magamba.[/h]
 
EMT, kwa nini unaleta issues za kijiweni kwenye serious talk?. Dr. Bagaile ni member humu, angekuwa na serious issue si angepost humu?.

Sasa yeye amepost kule fb kwenye kuimbiana mapambio, kwa nini ulete issues za fb humu au unataka huyu imposter aendelee kuvuliwa nguo humu?!.

Mule mjengoni kuna wabunge watumishi wa watu na kuna wabunge wanaotumikia matumbo yao 'gold diggers'. Utawatambua kwa kauli zao!.

Pasco
issue za kijiweni kwenye seroius talk kwa mtazamo gani na wa nani?

Kuna hao hao wengine kwao FB kwao ndio kuna seroius talk na JF wanaiona kama ndio ya issue za kijiweni. Comment zao baadhi zipo zinazthoibitsisha hilo kuwa jf ni ya majungu(wich mean ni kijiweni)

Kwa hiyo Wewe kwako kuona JF ni serious talk haimfanyi Kingwala, au January au Hata zitto na Myika au yeyte iiwe serius kuliko FB au Twiiter. Hiyo inategema na mtazamo wa mtu binafsi.

Mradi ni siasa wekeni tusio na acess tuwasome.

  • Thanks
Reactions: EMT
Mbunge wa facebook naye jamani???? Tena hoja yenye maslahi na madhara kwa taifa aaaagh

Mnaowajua hawa watu hebu na muwaelekeze huku jamvini waweke mawazo yao hayo ili wapate majibu ya wafikiriaji wakomavu..
Posho kwa pesa ya wavuja jasho kwenye facebook ???

Hawezi kuileta jf hiyo hoja maana msimamo hana na ni mnafiki so hawezi kukabiliana na hoja za great thinkers,ina maana hakumbuki hoja ya j.makamba aliyoitoa juzi kati kwenye nec dodoma na kuzimwa kihuni na jk??!!
 
Back
Top Bottom