Posho za Ubunge nazo zifutwe

watanzania mshazoea mnachotaka ndo kiongozi afanye wakati mwingine kiongozi anapaswa afanye maamuzi.hakuna ubaya alioufanya pinda km unawaza mbali.
 
Pinda si ndio wale wale tu hamna jipya pale zaid ya kulopoka na kuongea upupu.
 
watanzania mshazoea mnachotaka ndo kiongozi afanye wakati mwingine kiongozi anapaswa afanye maamuzi.hakuna ubaya alioufanya pinda km unawaza mbali.
mbali wapi??????we ushawahi pewa hela na mbunge wako????hao wanaowaomba ni wapambe wao waliowawezesha kuingia mjengoni au makuwadi wao wanaowatafutia wanawakee
 
pinda hana hoja, kama ni suala la wabunge kuombwa pesa na wananchi hata sisi tusio wabunge tunategemewa sana na ndugu na jamaa zetu katika mtindo wa extended family. kwa maana hiyo basi hata sisi wafanyakazi wengine tupewe posho ili kuwagawia ndugu zetu wanaotutegemea. Pinda hana jipya siku zote yeye anatumika kama chambo halafu mwisho wa siku anamwaga machozi hadharani.
 
watanzania mshazoea mnachotaka ndo kiongozi afanye wakati mwingine kiongozi anapaswa afanye maamuzi.hakuna ubaya alioufanya pinda km unawaza mbali.

akili za pinda zimepinda kama jina lake. alichoongea jana ni pumba ambazo sikutarajia kuzisikia kutoka kwa waziri mkuu.

kauli alizotoa pinda zina hadhi ya kutolewa na mtu kama Tambwe Hiza.

poleni sana watanzania mnaoshabikia ccm.
 
Your mind and what you thinking is the only justification!Oh i dont think so!But wait maybe!Mh.....
 
Kwa hiyo Waziri mkuu ambaye ki-wadhifa ndiye mzimamizi wa shughuli za serikali anataka Watanzania tuamini kwamba 'posho za vikao' wanazochukuwa waheshimiw wabunge ni kwa ajili ya kuwagaiwia 'omba-omba'? Na kwa tafsiri yake Watanzania wamekuwa wanawaomba wabunge fedha na kwa maana hiyo wamekuwa wakitatuwa matatizo ya wananchi kupitia hizo posho! Kama kweli ndivyo, Waziri mkuu haoni ingekuwa busara kumuagiza Mkullo badala ya kuja na vifungu vya mara 'afya, mara barabara, mara elimu n.k basi agawanye hiyo bajeti kwa mafungu ili kila mbunge achukuwe fungu lake na kwenda kutatuwa matatizo ya wananchi?
 
Sera mbaya za CCM zimelifikisha taifa hapa lilipo, sasa wana taaluma kama vile madaktari hawapatikani kwani ama wamehama nchi ama kuingia katika siasa kwa sababu ya posho na maslahi, taifa hili linadidimia nani aliokoe?Wabunge na viogogo wanapata mishahara minono sana, posho, wizi,fursa mbali mbali wanazo mbona waziri mkuu ambaye kajiita mtoto wa mkulima naye kaingia kwenye mzozo wa posho? Mnatunyosa hata maji maji ya damu yaliyosalia mwilini..aibu kwenu nyie mnao ng'ang'ania posho
 
Back
Top Bottom