Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 747
Mwenye taarifa na hili ninaomba aliweke hapa jukwaani.Nimesikia kuanzia mwakani mwezi Julai Wakuu wa shule watalipwa Tshs 250,000 kwa mwezi kama posho,wakuu wa vyuo 300,000.
Waratibu elimu kata 250,000 na walimu wakuu msingi 200,000.Kama hili lina ukweli basi ni mwanzo mzuri wa kurejesha posho ya kufundishia kwa walimu wote.Tafadhali mwenye taarifa sahihi amwage hapa.