Posho ya madaraka kwa walimu

Posho ya madaraka kwa walimu

wekeni jamvini basi tuone, ikiwezekana tuanze kurogana mapema
 
Kwa inflation iliopo nchini hio amount kwa mwakani itakuwa nonsense. Kikubwa ni kuwafundisha watoto wetu kulikataa.Duniani
 
Mkuu naomba nitupie huo waraka kwenye PM niusome.

Mkuu me natumia tu kasimu ka mchina hivyo siwezi kukurushia.Kama wewe ni mwalimu njia rahisi ya kuuona ni kufika ofisi ya TSD ama CWT ama ofisi ya Utumishi uliyo karibu nayo watakuonyesha.
 
Waraka huo umetolewa lini?
 
Hii taarifa ni kweli nilioneshwa waraka na afisa elimu flani.
 
Ni kweli waraka umetoka toka mwaka jana na hata ukienda ofisi yoyote ya CWT ukiomba utapewa, kama alivyosema mtoa mada wa awali ni kweli kabisa
 
Tatizo linabaki kwa Serikali yetu kama itatekeleza hilo seriously.
 
Mbona hawa wakuu wa shule watakunyanyaseni walimu hasa kama hujaandaa lesson plan n scheme of work!
 
Mkuu walipwe kiwango hicho KILA MWEZI kwani siku hizi Walimu nao wamekuwa @wajumbe wa BUNGE la katiba (BMK)? Sahau....hizo ni ndoto za alinacha./ abunuasi ,

mkuu Kashi nakushauri ukimaliza kuota ndoto hiyo uamke na ukaoshe uso na kuangalia katuni ya "Junor Jumbo" hisabatiii...hisabatiiii.hisabati enheee...haeee..hae......hisabatiiiii.

No research no right to speak, huu waraka upo tangu mwaka jana binafsi kaka yangu ni mkuu wa shule waraka upo tayari unasubiri muda ufike wa utekelezaji
 
Hili jambo sio la kufurahia. Ni divide and rule. CWT na waalimu wapiganie kila mwalimu apate posho ya kujikimu kila mwezi, hata kama ni elfu 50.

Mbona askari wanapewa wakat mazingira yao ya kazi ni bora zaid? Siri iko kwenye bunduki. Watawala wanawaogopa washika bunduki kuliko washika chaki. Eti washika bunduki wanapewa had msamaha wa pombe ili walewe sana mpaka wasahau wajione na wao ni watawala, hivyo washindwe kutetea wanyonge.
Kudharau kwetu elimu na waalimu ndio kupotea kwetu kama taifa.
 
ni kweli japo kigezo uwe na shahada ya ualimu hata kama wewe ni mwl mkuu wa sym au mratibu na au mkuu wa shule...vinginevyo huwezi kulipwa..
 
Ndo mana mnaitwa walimu ni watu mliofeli.. Wanasambaza habari hizo ili muwasaidie ktk uchaguzi na nyie mlivo mabwege mshaanza kuamini..
Walimu bwana...........

Mabwege hawawezi kumfundisha mjanja vinginevyo uwe hujakanyaga shule kabisa.
Acha kudharau waliokutoa tongotongo la ujinga.
 
Mkuu walipwe kiwango hicho KILA MWEZI kwani siku hizi Walimu nao wamekuwa @wajumbe wa BUNGE la katiba (BMK)? Sahau....hizo ni ndoto za alinacha./ abunuasi ,

mkuu Kashi nakushauri ukimaliza kuota ndoto hiyo uamke na ukaoshe uso na kuangalia katuni ya "Junor Jumbo" hisabatiii...hisabatiiii.hisabati enheee...haeee..hae......hisabatiiiii.
Karibu tuweke kumbukumbu sawa.
 
Back
Top Bottom