Posho kwa ma RC na DC baada ya kumaliza muda wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho kwa ma RC na DC baada ya kumaliza muda wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mawazoyangu, Jan 25, 2011.

 1. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Wana JF naomba mwenye kujua ma RC na DC waliomaliza muda wao wa hizo nafasi kwa kuchaguliwa wabunge au kwa sababu nyingine wamelipwa shilingi ngapi?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Siri ya serikali!
   
 3. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tshs 40,000,000.00
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  70m
   
 5. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Search: ministry of finance and economic affairs/treasurer/RC Pensions
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,310
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Weeee wanalipwa big time.....netpay X 12 X 5 yrs term...... Kila 5yrs wanalipwa chao....wansikiliziaaa...wakiitwa tena 5yrs contract
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,310
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kama take home ni 1,500,000 X 12 X 5 utajua....atalipwaa kiinuaa mgongo ngapi kwa 5 yrs.....
   
 8. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  misallocation of funds
   
 9. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Duu, mbona kama napata 90,000,000. Hela zote hizi kwa kazi gani ambayo wamelifanyia Taifa katika maendeleo. Alafu Sisi tunaotumikia kwa miaka 30 tunalipwa 15-20,000,000
  Itabidi wote tuwe wanasiasa maana itakuwa ndo kazi inayolipa kwa muda mfupi. 5yrs
   
 10. Kabwela

  Kabwela Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa idadi ya wilaya na mikoa ni kuwa serikalikali inaendesha mabunge mawili kwa kuwa idadi ya wabunge haipishani sana na wakuu wa wilaya ukijumlisha wabunge. hata wakati wakiwa kazini wanapata huduma karibu sawa na wabunge. Kazi za wakuu wa wilaya zinaweza kufanywa na mkurugenzi wa wilaya kwa kuwa kazi yake kubwa ni mlinzi wa AMANI hivyo unaweza ongeza mfanyakazi mmoja wa kawaida chini ya mkurugenziambaye haitaji huduma kama DC na halafu wote wakawa wanaripoti kwenye kanda zikianzishwa ambazo zitaunganisha mikoa miwili au zaidi hivyo unapunguza wabunge zaidi ya 10, HUKU HELA UNAYOHIFADHI UNASAIDIA KULIPA MADENI NA KUTOA POSHO ZA WANAFUNZI HIVYO UNAPUNGUZA MIGOMO ILIYOPO KILA CHUO TZ.

  CCM NA SERIKALI YENU ACHENI KULIPA FADHILA MNAKOSA HELA ZA WANAFUNZI, WAZAZI WAO (WENGI NI WAKULIMA) WANAUMIA NA NDIO WANAOWAPIGIA KURA ZAIDI, IKIFIKA 2015 HAMTOWEZA KUWADANGANYA NA ITAKULA KWENU. BE WARNED
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi unategemea kupata jibu sahihi kwa swali hilo hapa JF? This question is misplaced!
   
Loading...