Pornography?

Mkuu we umepewa kazi nyingine ukaanza kufungua folder jingine mwisho wa siku ukaenda kumhadithia na mwenzio, mbona umekuwa Baba sipitwi.
 

.
.
.
we mkali man....kitu kinawekwa new folder,ndani ya new folder kunakuwa na new folder kama tano na katika kila new folder tano kuna new folder tatu.....then katika zile tano new folder ya nne kuna new folder saba,ya sita ndani kuna new folder tatu....ya tatu ndio yenyewe..........akisearch anakuta hewa tupu na movie unazirename
 
computer za company noma,tumia kudownload uweke kwenye flash card,kwenye computer futa kabisa downloads na futa kabisa browsing history

Mkuu nakushauri uachane nayo hayo madude. Kama umeshawahi kudownload kwa kutumia computers za kampuni au internet yao kuna uwezekano mkubwa wanakujua vizuri. Kwa script niliyoitengeneza itascan folder zote.
 
Cha ajabu wala hakipo wewe tu na mawengewenge yako ungemfanyia anachotaka na kama uliona inakukera ungemwambia i cant do this. Na siku boss wako akikupa kakamera kake kana picha kapiga ana do laivu na mpango wake wa kando si utazimia kabisa.
 

Picha ya uchi tu ya kawaida au video ya uchi ya mtu haiwezi kufunguliwa, inafungua video baada ya kudetect inatoka porn site. Nimeweka ili kujihami na threats: Why is porn associated with computer viruses? - Yahoo! Answers

Google tu kidogo uone jinsi porn zilivyo harmful kwa computer, sikubali kupoteza data zangu kwa sababu ya ujinga wenu!

Kwa ethics za kazi na imani yake hakutakiwa kuwa na hizo videos.

Hiyo ilikuwa kazi yake binafsi nilikuwa namsaidia sio ya ofisi, kwanza sikutegemea kama angekuwa nazo.

Tupe faida na hasara ya pornography evidenced by research, sio wewe unajiandikia tu. Basi na nyie muwe smart basi, maana mnabeba video za ngono utadhani maandazi.
 
waache watu wafanye maasi yao,kwani wewe unadhurika na nini kwenye starehe ya mwenzio?
Nalog off

Hujui tatizo la mwenzio linakugharimu na wewe pia kwa namna moja au nyingine?
 
Mkuu we umepewa kazi nyingine ukaanza kufungua folder jingine mwisho wa siku ukaenda kumhadithia na mwenzio, mbona umekuwa Baba sipitwi.

Limefunguka lenyewe tu mkuu. Acheni hiyo tabia.
 
Cha ajabu wala hakipo wewe tu na mawengewenge yako ungemfanyia anachotaka na kama uliona inakukera ungemwambia i cant do this. Na siku boss wako akikupa kakamera kake kana picha kapiga ana do laivu na mpango wake wa kando si utazimia kabisa.

hahahahahaha.....hii hata mimi na moyo wangu mgumu ntazinduka siku ya tatu...
 

sijapitia hiyo link uliyonipa na wala sio mtaalamu wa kompyuta ila najiuliza..ukiscan kwa kutumia ant-virus bila kuaffect hizo mambo za mwenzio haitoshi?? kwasababu kwa asili ya hiyo software yako (ya kichimbichimbi) hahaha.. inatambua kila aina ya hizo picha bila kubagua kama ni kirusi ama la!
siwezi kataa hiyo mambo huwa naangalia ila sio muathirika wake.....
 
na wewe umemshtukia ee..hahahahah Simplicity janja yako kwisha vuja

Sio mimi mkuu ni uzoefu ambao watu huwa wanatoa, maana wakati nasoma chuo kuna watu walikuwa usiku kucha hawalali wanaangalia hizo videos, wakati mwingine walikuwa wanaweka sauti ya juu na kusababisha usumbufu kwa wengine. Najua idadi nzuri ya hao jamaa, sijui labda wewe ni mmojawapo! Kuna jamaa alishawahi kufukuzwa na wadeni Mabibo Hostel baada ya wadau kumripoti.
 

Inatambua sio kila picha au video, bali ni ile yenye info/metadata zinazohusiana na porn sites. Na mara nyingi haikosei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…