Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe
uzembe sana kukutwa na video za porn kwenye computer,mi huwa na-lock kabisa file ya porn nimei-name "kwaya".
nani atahangaika files zote afungue asikilize kwaya wakati kuna series na movies au comedy
hujui tu zinasaidia kwa fast serviceDuuh Aisiiiih!!!
aaah unakuta mpenzi yuko mbali na kumsaliti unaona nafsi inashitaki,heri upunguze tu ngenyeHivi mnayatunzaga ya nini?
hahahaaa dah huyu mchizi bonge la mzoefu,nimekua nikifuatilia comments zako toka huko juu mpaka hapa nimejiridhisha kwamba una uzoefu mkubwa sana wa "kuficha" hizi makitu,naachia hapa kukufuatilia cuz hii ya empty ni kubwa kuliko lolujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe
Haya ni mapenzi, uzinzi, uasherati au kitu gani?
Ni mara ya tatu kukutana na huu msala wa watu kubeba picha na video za ngono kwenye flash derives zao. Wa kwanza alikuwa kavulana fulani, nilikachimba mkwara nikakaambia nenda zako usirudie tena kubeba uchafu huo kwenye flash disk yako. Mwingine alikuwa ni mdada anafanyia kazi bank, nakumbuka alinitext "Hivi unanichukuliaje kunikuta nimebeba hizo picha?". Nilimjibu "utakuwa unatumia bundle kubwa sana, au tigo wanakupa bure nini, maana niliona picha zao pia!"
Wa tatu bosi wangu tena mwanamke. Issue iko hivi:
Laptop yangu nimeifanyia configuration kudetect malware (including porn videos and photos, kwa kutumia possible key words zinazoweza kuwepo kwenye source files, hapa kwa kawaida ni metadata au links zilikodownlodiwa), na ikidetect nimeiset kufungua folder lenye haya mavitu kwa kupoup, huku ikidispaly message:
"Wicked files detected, they are subject to deletion in few seconds, this decision is not negotiable and cannot be undone", hiyo ni warning message yangu.
Sasa siku moja asubuhi na mapema bosi wangu akaja anakimbiakimbia, namheshimu, dah "tafadhali naomba unisaidie kuna hizi data hapa nimehangaika nazo kweli, nataka kuzifanyia statistical analysis, ngoja nikuletee flash uhamishe na kufanyia kwenye laptop yako". Akanieleza kwa kifupi nimsaidie kuzifanya nini, halafu fasta kaenda ofisini kwake kuleta flash (ngo ngo ngo ...., kelele zilizofanywa na high heels zake).
Kuichomeka flash kwenye port hivi (sikutegemea kabisa kama huyu madam angebeba hayo madude kwenye flash), duh, OoOOOoOOOps! Folder limefunguka (amelipa jina "Personal Data") huku laptop ikidisplay hiyo message "Wicked files .....".
Madama "OOoohh jamani, hayo manini tena funga basi na wewe, jamani mambo mengine muangalie basi".
Mie nikajifanya niko busy na simu, mara bahati nzuri kuna jamaa kanipigia nikatoka nje kupokea, nikawa naongea halafu nazidi kusogea mbali na tulipokuwa (nilitaka niende mbali zaidi ili nikacheke). Kadri nilivyosogea mbali nilifunguka kwa kicheko, njiani nikakutana na jamaa yangu mwingine anakuja ofisini, nikampa mkanda kwa ufupi halafu naye akawa ancheka. Ikabidi nimwambie tafadhali tuliza mzuka maana utaua bendi. Jamaa alishindwa kabisa kuacha kucheka, ilibidi tusiende ofisini muda ule, tukaamua kwenda kutafuta breakfast kwanza kwenye mgahawa fulani upo karibu na sehemu ya kazi.
Nilirudi kwa kunyata, nikakuta laptop yangu imetolewa battery halafu wala haijarudihshiwa (atakuwa alishindwa kuizima, maana, nilivyokuwa nimeiset asingeweza kucancel au kuswitch off mpaka imalize kudelete).
Wakati nafikiria kwenda kumwuuliza secretary kama bosi yupo, bahati nzuri vuuuuuu, secretary kaingia ofisini kwetu "mmemfanya nini bosi mbona kakasirika hivi leo?". Nikamwuuliza yupo? Akaniambia kaondoka amesema kapata dharura, nikasema afadhali!
Ilikuwa Ijumaa iliyopita. Jumanne - kesho kutwa najua ataniita, na mie siku hiyo nitafika ofisini asubuhi sana ili kama atakuwa amefika tuyamalize kabisaa!
Nitamwambia hiyo flash yako usiwe unawapa watoto maana watoto wa siku hizi ni watundu sana wanaweza kujaza vitu ilimradi tu. Kuhusu ilivyopopup, nitamwambia kuna watu wamefanya uhuni wameiwekea flash software ili ukiichomeka kwenye usb port inafunguka automatically na kuiambia computer ifute baadhi ya mafaili!
Yaani majibu au kujitetea kwangu itakuwa ni full drama kutegemea na upepo na mood yake kuhusu hilo tukio.
Dunia ina mambo sikutegemea kabisa huyo mdada/madam kuwa na hizo movies kwenye flash. Kutokana na nilichokishuhudia juzi, jana niliamua kubadilisha signature yangu ya Jf na kutoa ujumbe kama unavyouona hapo chini.
Please Jf members "Say no to wicked things on your eyes!".
aaaah au folder ndani ya folder mpaka anajiona kachokonoa sana,halafu anakutana na folder inaitwa ''virus detected go back and restart your computer.''kumbe ndo folder yenye mambo yenyewe,lazima awe mpole kwanza pc si yake ataogopa iharibikehahahaaa dah huyu mchizi bonge la mzoefu,nimekua nikifuatilia comments zako toka huko juu mpaka hapa nimejiridhisha kwamba una uzoefu mkubwa sana wa "kuficha" hizi makitu,naachia hapa kukufuatilia cuz hii ya empty ni kubwa kuliko lol
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe
computer za company noma,tumia kudownload uweke kwenye flash card,kwenye computer futa kabisa downloads na futa kabisa browsing historyHAHAHA sina mbavu yaani anakata tamaa kabla hajafika aisee. Ila sio vizuri kuweka kwenye computer kama ni Company. Walishafukuzwa watu wa aina hiyo kazini kwetu. Zee zima linaandikiwa kuwa porn ndo chanzo cha kukatisha kazi ni aibu tupu.
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe
Mapi ndio maana nimesema kama nitakutana naye Jumanne - kesho, nitamwambia awe makini na flash, asiwaachie watu wengine, hasa watoto.baada ya kuona (uliyoyaona) ulitoka nje (probably, ukamuacha ofsini na kuelekea kwenye breakfast moja kwa moja...SERIOUSLY??? nahisi kama kunakitu skipati poa hapa.
- ni Bosi wako
- unamuheshimu
Na unauhakika gani yeye ndo aliweka?? na kama hakuweka yeye angejuaje uwepo wa hayo ilihali hajafanya hizo configuration kama wewe?
uzembe sana kukutwa na video za porn kwenye computer,mi huwa na-lock kabisa file ya porn nimei-name "kwaya".
nani atahangaika files zote afungue asikilize kwaya wakati kuna series na movies au comedy
huyu jamaa muongo sana, yaani umuachie ofisi bosi wako asolve broblem ya displayed porno kweye laptop uliyoifungua wewe!!!! hata kama ni autorun, haiingii akilini.
ndio maana simuelewi Simplicity kirahisi labda anipe maelezo ya ziada....
ila hiyo yako isjekuwa haikuwa virus, bosi alikuwa ameweka kamtegoo....hahahahahah
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe
Mapi inaonekana ni hobbyist, mie nimeweka ili virus visiharibu computer yangu. Asilimia kubwa ya virus vinavyoua os za computer wanategwa kwenye video za porn. Watengeneza virus wanajua sana watu kama akina Mapi (natania) wanapenda kuvist hizo sites, ukivist au kudownload chochote mara nyingi unachukua virus pia. Nia yangu sio kuingilia privacy, bali ni kujilinda dhidi ya threats. Soma hapa ndio utanielewa:hivi hiyo software umeiweka ili nini labda? hizo outside sources zenye hizo mambo ni za watu wengine, na ni mali zao na contents within ni za kwao..wewe unawasaidiaje kudelete while wao wanazitaka?? sio kuingilia privacy ya mtu huko?