porn movie ndani ya basi Bagamoyo!

Duh mkuu umenikumbusha siku moja tulikua kwenye lecture kumbe kuna mdingi alikua anacheki pono asa kwa bahati mbaya akaongeza sauti aisee hapakutosha ilibidi mbindigi amtupie dogo alie kaa karibu coz alishindwa hata kuzima kwa kiwewe!

we Mandingo si ndio stering mwenyewe?
 
kwa maadili ya sasa usishangae basi zima walikuwa wanafurahia, ni wewe tu ndo ulikuwa unakereka. Afadhali hata hukumwambia.
 
ungemwelewesha tu kistaarab akileta ubish naamin kuna wengine wengi kama ww ambao hawapendi ila wamenyamaza wanasubr nan aanze, hyo inaitwa spiral of silence, naamin angeleta za kuleta ungepata kampani ya wanaompinga
 
Back
Top Bottom