Pork! Kitimoto! Pork!

Pork! Kitimoto! Pork!

Usiache kuja Mwanza kuna Muwekezaji wa Kichina anafanya mambo ya Kitimoto maeneo ya Kapri Point kwa Korosso ni balaa.....Ukienda pale lazima urudi tena.
 
Naambiwa RainBow Club, Mbezi Beach wanatisha kwa kumtengeneza huyo mdudu, nina mpango wa kwenda huko this coming Sunday!
Kama uko Mbagala unaweza kushuka chini kidogo hapo TMK mwisho, niliwahi kupata pale siku nyingi lakini, halafu nimesahau panaitwaje!
 
Mentor,

Ukija Arusha nenda Apache wanatengeza mdudu wa ukweli nakwambia unaweza kuhamia Arusha jamaa wako juu sana.Mwenzako kila jumapili mida ya mchana utanikuta natwanga mdudu na Gordons za kufa mtu.Apache iko mitaa ya Ricks Club unaingia ndani kidogo unapinda mkono wa kushoto unakwenda umbali wa mita 100 unakata kulia mjomba nina hakika hujawahi tafuna mbuzi katoliki wa ukweli.

Duh nasikitika machalii wa Arusha wanaweza kuvamia anga zangu mdudu akapandishwa bei.Unajua tena law of supply and demand inaweza kuapply.

Mkuu kumbe tunakuwaga pande moja lakini hatusomani! Vipi kitu cha Latavena umeshajaribu? Nacho sio cha kitoto.
 
Mkuu kumbe tunakuwaga pande moja lakini hatusomani! Vipi kitu cha Latavena umeshajaribu? Nacho sio cha kitoto.

Mkuu itabidi nikutafute mdudu lazima atafunwe.Hiyo Latavena iko wapi ?.
 

Mkuu itabidi nikutafute mdudu lazima atafunwe.Hiyo Latavena iko wapi ?.

Latavena iko nyuma ya Apache. Ni mpya flani. Lakini bado nakubali kitu cha Apache. JP mida ya mchana lazima nitinge kutia sign.
 
Wakuu, mimi natafuta kitimoto pori. Anayejua inakopatikana anijulishe tafadhali. Napenda sana ile kitu
Kuna mama mmoja wa Mbagala huwa ana-imporrt toka kusini mwa Tz, ukini-PM nitakujalia nambari yake ya kiganjani (Usimtie nguvuni lakini,anatutoa sana hapa mjini)
 
Kuna mama mmoja wa Mbagala huwa ana-imporrt toka kusini mwa Tz, ukini-PM nitakujalia nambari yake ya kiganjani (Usimtie nguvuni lakini,anatutoa sana hapa mjini)
did u jus xay Mbagala!!!???
si ndo nyumbani uko...nifowadie ha numbe tasavali...
 
M[FONT=times new roman said:
[/FONT]zeePunch;2281139]Wakuu, mimi natafuta kitimoto pori. Anayejua inakopatikana anijulishe tafadhali. Napenda sana ile kitu

Nenda Kisarawe utapata
 
Simba kapakwatwa ndio wanajua kumtengeneza vizuri huyo mdudu
Kwingine B-bar Sinza
 
..Njoo Contena Regent Kwa Rasta...ukifika tu..we nyoosha mikono juu..mie nitakuona..nakupiga na kilo ya kuchoma fasta..then utanipa maelezo..
 
Banana Ukonga, pale utasuuzika na roho yako. Maana kuna bar kama 400 na zote zina kitimoto
 
Wadau,
mwisho wa mwezi huu nina mpango wa kusafiri sehemu ambapo hakuna hiyo kitu.
Ninahitaji sehemu hapa dar...affordable... ambapo nitaenda nile kitimoto weeee..mpaka hamu iniishe.
Tafadhali ushauri...
Natanguliza shukrani.
Cheki na Faiza-Fox anapendelea sana hiyo kitu but in confidence
 
Back
Top Bottom