Popote ulipo Rukia.

Popote ulipo Rukia.

Kuna mwanamke mmoja mimi nilikutanaga nae yeye alikua na harufu na pia alikua anatoa vitu vyeupe vyeupe kama cream kama kawaida mzee wa kazi hua siwezagi kuvumilia nikamwambia "ebwanaaee hio harufu ni nini?" Au wanawake wa huku kijijini ndo unatoa harufu hivyo? Mimi nilijua ni sababu wanatembea tembea sana hivyo joto huleta harufu, nikamwambia ukiwa unaoga chuchumaa jisafishe hayo madude meupe na maji jioshe vizuri ndo uje basi akawa anafanya hivyo mzee ninanusa kitu ile namwambia leo imepungua harufu miezi imaenda ile harufu ilipotea...siku moja baada ya miala kadhaa akaja kuniambia " yani wewe mwanaume uliniambiaga ninanuka ila ulinisaidiaga maana siku zile nilikua sijui kuoga"
 
Back
Top Bottom