Popote ulipo Rukia.

Popote ulipo Rukia.

Ujinga ni mzigo mzito sana.

Wengi wanateseka na ujinga kama wako.

Eti hujaweka details zote.
Sasa si ungempigia kwa namba yake?
 
use common sense,

rukia angekua dada yako,ungefurahi anavyoanikwa humu..kama umeshindwa kumrespect at least fikiria ndugu zake,,, mxiewww
Wewe umeweza kumtambua Rukia mwenyewe? Rukia wapo wengi cjataja baba hapo nimeandika story ili akisoma yeye mwenyewe ataweza kujuwa but no way mtu mwengine anaweza kumtambua. Na ndo maana hata cjaweka yeye alikuwa mwaka wa ngapi chuo au rafiki anaitwa nani.
 
Ujinga ni mzigo mzito sana.

Wengi wanateseka na ujinga kama wako.

Eti hujaweka details zote.
Sasa si ungempigia kwa namba yake?
Mkuu cna contacts zake na wala mitandao ya kijamii nimemcheki cjui anatumia id gani.
 
Wakati mzuri wa kumweleza ilikuwa hiyo siku ikiwa ulishindwa haukupaswa kuyasema humu tena kwa kutaja majina yake hali ya kuwa miaka mitano imepita.

Haujuwi labda aliolewa na mume ambaye alisoma hapo chuo, vipi ikiwa alishafariki huku nyuma unaandika haya juu yake? Hasa ukiandika hapa inasaidia kitu gani ikiwa ulishindwa kumweka wazi? Kuna wakati labda tunafurahi tukutane na hali hii tupate cha kusimulia.

Wakati mwingine tujifunze kutunza siri za watu ambazo kama tungekuwa ni sisi tusingependa zifahamike kwa wengine.
 
Mleta mada tafuta kazi itakayokushughulisha ili uachane na kuwaza vitu visivyo na manufaa kwako,

Tupo 2019 wewe bado unawaza mambo ya 2014? pengine hata yeye alinusa kiharufu toka kwako ila akapotezea tu,badilika aisee,wanaume hatupo hivyo.
We work from Monday to Friday and party on weekends. Mkuu wewe inaonekana una hali ngumu ya kimaisha yaaani 24/7 unataka ufanye kazi jiangalie utakufa cku si zako.
 
Mleta mada tafuta kazi itakayokushughulisha ili uachane na kuwaza vitu visivyo na manufaa kwako,

Tupo 2019 wewe bado unawaza mambo ya 2014? pengine hata yeye alinusa kiharufu toka kwako ila akapotezea tu,badilika aisee,wanaume hatupo hivyo.
Huyu anakera sana, anajuwa tabu wanazopata wanaume kwa dada zake?
 
Wakati mzuri wa kumweleza ilikuwa hiyo siku ikiwa ulishindwa haukupaswa kuyasema humu tena kwa kutaja majina yake hali ya kuwa miaka mitano imepita.

Haujuwi labda aliolewa na mume ambaye alisoma hapo chuo, vipi ikiwa alishafariki huku nyuma unaandika haya juu yake? Hasa ukiandika hapa inasaidia kitu gani ikiwa ulishindwa kumweka wazi? Kuna wakati labda tunafurahi tukutane na hali hii tupate cha kusimulia.

Wakati mwingine tujifunze kutunza siri za watu ambazo kama tungekuwa ni sisi tusingependa zifahamike kwa wengine.
Yaani mdada wa watu alimuonea huruma.

Leo hii anamwanika humu, je sisi anajuwa tunavyovumilia harufu kwa ndugu zake wa kike?
 
Moderator futa huu upuuzi
Aibu kabisa. @Moderators
Wanaume tuwe wastarabu kidogo aisee.
Siyo kwa kumuaibisha hivi msichana wa watu tena yawezekana ameshaolewa na mume wake anausoma huu uzi!

Tena umetaja jina na wasifu wake kabisa ilihali mmeshaachana zamani!

Kama lengo lako ni kufikisha ujumbe ungeficha kidogo.
 
Wakati mzuri wa kumweleza ilikuwa hiyo siku ikiwa ulishindwa haukupaswa kuyasema humu tena kwa kutaja majina yake hali ya kuwa miaka mitano imepita.

Haujuwi labda aliolewa na mume ambaye alisoma hapo chuo, vipi ikiwa alishafariki huku nyuma unaandika haya juu yake? Hasa ukiandika hapa inasaidia kitu gani ikiwa ulishindwa kumweka wazi? Kuna wakati labda tunafurahi tukutane na hali hii tupate cha kusimulia.

Wakati mwingine tujifunze kutunza siri za watu ambazo kama tungekuwa ni sisi tusingependa zifahamike kwa wengine.
Mkuu hapa kuna faida kubwa inaweza patikana kwanza wapo ambao kupitia hili wanaweza kuwa ujasiri wa kuwaambia wapenzi ili lisitokee kama hili, pili inawezekana yuko hai na kupitia uzi huu akaona na kupata ufumbuzi, tatu wapo wadada ambao inawezekana wana hili tatizo ila hawajui lakini wanaweza kujiridhisha kama wapo sawa au laa kwa kutumia njia watakayo juwa wao. Lakini pia mkuu ni jina moja tu nimetaja na vigumu kwa yeyote kumtambua zaidi ya yeye mwenyewe.
 
Duuh nimeona niedit maana naona jamaa wamenivamia vibaya ila nimeshindwa kuedit iyo tiltle anejua anielekeze.
 
Kwenye mahusiano yeyote, kigezo no moja ni Usafi kwa ujumla.

Huyo atakuwa na fungus na kikwapa juu dah aisee kuna vitu vingine havivumiliki.
 
Back
Top Bottom