Popote panafaa

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
Popote panafaa kwa tendo hilo,Iwe ndani au nje,kama ni juu au chini,kitandani au mkekani,kwenye majani au sakafuni.tendo hilo ni wajibu kwa yeyote.asiyejua hufunzwa.(usiwaze sana hiyo ni "ibada ya kumuabudu mungu wako"
 
mmmmhhhhhh hata lile tendo
linafaa sahemu hizo
 
Nikiona jina la binti bawazir najua nitacheka,asante fatma.
 
popote panafaa kwa tendo hilo,iwe ndani au nje,kama ni juu au chini,kitandani au mkekani,kwenye majani au sakafuni.tendo hilo ni wajibu kwa yeyote.asiyejua hufunzwa.(usiwaze sana hiyo ni "ibada ya kumuabudu mungu wako"

duuh mi simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…