Popobawa akikutembelea eti lazima umtaarifu mkeo au mumeo au hata watoto kuwa umetembelewa ndio aache mchezo wake na kuhamia kwingine.Je kuna ukweli wowote!!!Kuna mtu mwenye taarifa sahihi au ushuhuda wa mwenza wake au jirani kutembelewa na hicho kiumbe,au zilikuwa fiksi tu za wabongo kutunga mambo......!!!
kuna tofauti kati ya popobawa na jini mahaba?
Dena,Sijatembelewa!!!!Tatizo ndio hilo,nasikia ukipitiwa lazima utangaze,labda wengine watusaidie inakuwaje
Umetembelewa nini mkuu???
Dah!!......................hivi viumbe vingingine bana?Mkuu minafikiri kutangaza ni lazima coz lengo lake yeye ni udharirishaji tu, tehetehetehe!!!!!!!!!!!!Dena,Sijatembelewa!!!!Tatizo ndio hilo,nasikia ukipitiwa lazima utangaze,labda wengine watusaidie inakuwaje
Paka mweusi,tatizo ni kuwa ucposema kesho anarudi tena,kwa hiyo ili akuache must utangaze!patamu hapo
Paka mweusi,tatizo ni kuwa ucposema kesho anarudi tena,kwa hiyo ili akuache must utangaze!patamu hapo