Popobawa yuko kweli? jihadharini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Popobawa yuko kweli? jihadharini

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 7, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Popo Bawa Katika Pozi


  [​IMG]

  KWA NINI POPOBAWA ANALAWITI WANAUME TU

  Majini wanaofanya mapenzi na binaadamu wako katika makundi mawili kundi la kwanza linaitwa Inccubi ambao wao wanafanya Mapenzi na Wanawake, inaweza ikawa kwa njia ya kawaida akiwa bado anaendelea kukutaka au kuwa na wewe na akitaka kukuacha anakulawiti na kuondoka kwenda kwa mwanamke mwingine.

  Majini hawa huwa hawapendi kutumia nguvu katika Mapenzi na yule wanayefanya naye mapenzi huwa anapata raha kuliko akifanya na binaadamu mwenzie. Hapa kwetu tunawaita Majini wa Mahaba

  Kundi la Pili linaitwa “Succubi’ Kundi hili ni la Majini ambao wanafanya mapenzi na wanaume tu. Hawapendi kufanya mapenzi na wanawake na wanatumia nguvu kubwa katika kazi ya kulawiti kiasi kwamba yule anayelawitiwa hupata maumivu makali.
  Popobawa yuko katika kundi hili la Majini wanaoitwa Succubi

  Anapokuja Kukulawiti utakuwa nusu macho nusu umelala na utahisi nguvu za ajabu zikikukandamiza kwenye godoro na hata ukipiga kelele sauti haitoki.

  Atakubana mbavu kama vile chatu anapopata mawindo yake na kukulawiti kwa muda wa saa nzima na unapojikakamua kujinasua unaweza ukavunjika mbavu ni bora ukatulia kwa ajili ya usalama wako.

  Wakati akikulawiti utahisi maumivu makali kwa sababu uume wake ni mkubwa na huwa anakushurutisha kuwa lazima kesho yake uwaeleze watu kwamba umelawitiwa na Popobawa la si hivyo atarudi tena kushughulika na wewe.

  Njia nyepesi ya kumkwepa Popobawa akiwa ameingia katika eneo lenu ni kulala watu wengi kwa pamoja nje ya nyumba kwa sababu Popobawa humlawiti mtu katika kitanda chake tu.

  Wengi wa watu waliolawitiwa na Popobawa huwa na uvimbe na mikwaruzo hasa sehemu za mbavu na mabegani, na wengine huvunjika mbavu katika mikiki mikiki ya kujitetea.

  Sehemu za siri huwa zinauma lakini hazionyeshi dalili yoyote ya majeraha.

  Popobawa huondoka ikiwa habari zake zimeenea na hofu kuwaingia wakazi wa eneo analotembelea.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ujinga mtupu. . . Popobawa analawiti labda makada wa magamba maana wote wamelegea viuno.
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Upuuzi mtupu. Hamna cha popobawa wala nini. Ni imagination tu.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Unasema kweli lakini? asije huu usiku kukufuata huyo PopoBawa?
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Akaa! kumbe huyo Popobawa ndio anasura hiyo ndio kwanza leo nimuone,anajicho moja tuu? loh anatishaaa bora akufate ukiwa usingizini ukiwa macho unaweza kufa au kuzimia na wanakuwepo mji gani hasa hao popobawa na msimugani au alowahi kuwaona akajua ndio hao ni nani?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  yupo haswa miji ya pwani Dares-Salaam ,Unguja na miji mingine yenye Bahari............
   
 7. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwanini huwa anataka watu watangaze baada ya kuingiliwa?
  Pia umesema kuwa mkilala kikundi huwa hawezi kunajisi, sasa huoni kuwa kule kutangaza mtu kaingiliwa kutasababisha asinajisi mtu mwingine maana watakuwa wamejiandaa tayari?
  kwanini ananajisi mtu? kwa maana nilisikia ni michezo tu ambayo watu wanaochukuliana haswa wake ndio hulipizana kisasi.
   
 8. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mh hii kali!!! Inamaana unaweza kutangaza hata kupitia mtandao kama hivi?
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ni mani tu za kishirikina hakuna hii kitu
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Umemrithi Yahya Hussein?
   
 11. k

  kakolo Senior Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Du hii noma sasa watu wa pwani mnajilindaje na huyu popobawa? Maana anavyoonekana ktk pozi noma kweli.
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  bibie nani tena kamrithi sheikh Yahaya Hussein?
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  dawa zake zipo tu wewe kama upo Dares-Salaam Mtafute Mganga wa Kienyeji atakupa Dawa za kujilinda na huyo PopoBawa.
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  mimi nimemkamata kwenye Video huyo PopoBawa angalia hiyo Video yake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  popobawa anapenda kula kitimoto haswa kipindi hiki cha funga
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Ale kitomoto kwani yeye ni binadamu? mbona umekuja kuvuruga thread yangu?
   
 17. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hiyo video, mmh..
   
 18. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mmmmh, tunafuturu dada!
   
 19. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha haaaaa! Popobawa alokuwa hapa Dar nasikia amekufa!
   
 20. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,188
  Likes Received: 1,905
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Kwani yeye naye hafungi mwezi huu wa haqu?
   
Loading...