Popobawa yuko kweli? jihadharini

Akaa! kumbe huyo Popobawa ndio anasura hiyo ndio kwanza leo nimuone,anajicho moja tuu? loh anatishaaa bora akufate ukiwa usingizini ukiwa macho unaweza kufa au kuzimia na wanakuwepo mji gani hasa hao popobawa na msimugani au alowahi kuwaona akajua ndio hao ni nani?
<br />
<br />

niaje, mbona unaogopa hivyo? Au ndugu yetu unaishi zenji?
 
Popobawa si Jini wala nini ni Binadamu wa kawaida ambae ana uwezo wa kishirikina na huutumia wakati wa usiku kufanya ufirauni majumbani mwa watu........ukitaka kufahamu zaidi juu ya technologia hii ni PM......
 
hahahha!!nimechekaa sanaa...hao wauni wanakulawiti na kiukiu zao wanajifanya mapopo bawaaa,afu kesho wanataka uwadisie mtaani wakucheke,usipo adisia wanaonaa aaah!!unapenda wanarudi tena na tena,sijaaa pata mfano pale choko aka chakulaa anapo tokewa na popobawaa sianaweza kumkatikiaaa mauno kwani ndo starehe yake.
 
sawa kaka tukuache uamini unavyoamini...lakini ukisoma zaidi ya elimu uliyonayo utakuja tafakari vema uliyoyaandika... Pole kwa kutembelewa na popobawa.
 
Mkuu mtoa mada umesema kua Popobawa huyo akishakupumulia kisogoni sharti uhadisie ili asikurudie, kwa maana hiyo unatupa ushuhuda kua wewe ndio tayari?
 
Wengine siyo majini bali ni mimtu mikwale inayopenda kufanya ufirauni kwa watu waliusingizini!
 
Kama kweli wapo ningependa wawekwe kwenye viti vya wabunge wote wa CCM kule bungeni, wanakera sana hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom