Jamaa mbona kapotea jumla?
ukila ngurue aka kitimoto popobawa hakufuati,hii pia ni fursa ya biashara kupeleka kitimoto pemba...
Popobawa kaibukia Pemba anawatesa sana watu usiku.
Kajua tumemstukia kwamba ze POPO kamla mzigo.... Hopefully atarudi ngoja apoeapoe kidogo. Ehehehehehhe